Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

Haipo CRIME MISSION duniani ambayo inaweza ikafanyika halafu ikawa iko 1100% FOOL PROOF, haipo.

Ukiona watu wajanja kama vile FBI au CIA wamenyoosha mikono kwenye tukio fulani , hapo ujue fika kabisa kuwa kuna intervention ya nature kwenye CRIME husika; kwamba baada ya crime kufanyika, kulifuatia NATURAL EVENT nyingine kwenye eneo hilo iliyopelekea ushahidi muhimu wa CRIME iliyotendeka kabla ya event hiyo, kufichika

FICTION CRIME STORY WRITER James Hardley Chase alishakiri kabisa kuwa haipo CRIME MIISSION duniani ambayo ni 100% FOOL PROOF
sasa hiyo ndio akili unafanya jambo alafu nature nayo inamaliza ushahidi, mipango inawekwa sawa
 
Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote.

Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi.
Nanukuu "Majizi makubwa yapo yamejificha kwenye chama changu CCM" Mwendazake
 
Sahihi kabisa, hata viongozi wengi wanaonionyesha kuwa wa kidini sana huwa na watu wabaya sana.
 
Back
Top Bottom