Wahalifu wengi wakubwa duniani hujificha kwenye kivuli cha dini na siasa

sasa hiyo ndio akili unafanya jambo alafu nature nayo inamaliza ushahidi, mipango inawekwa sawa
 
Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote.

Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi.
Nanukuu "Majizi makubwa yapo yamejificha kwenye chama changu CCM" Mwendazake
 
Sahihi kabisa, hata viongozi wengi wanaonionyesha kuwa wa kidini sana huwa na watu wabaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…