Tukiingia mitaani hapa Kenya tutapata ndugu zenu wengi ambao hawana vibali. Kuna wakati MP wetu alisema hao wasiokuwa na vibali wafurushwe, nakuambia Tanzania nzima kuliwaka moto hata bunge lenu lilifanya mjadala kuhusu matamshi ya MP huyo.Hakuna raia wa Kenya amenyanyaswa kama ulivyodai.
Kilichowakuta ni mambo ya kisheria. Wameingia nchini bila nyaraka zinazowaruhusu, sheria ikachukua mkondo wake.
Nina imani umepata mwanga.
Wakenya chomoeni mipira ya gesi gari likate breki.Usisahau mahindi yenu tumeyazuia
Ule utaratibu wa wananchi kuingia ndani ya nchi jirani hata km 10 kila upande uliondolewa lini?Hakuna raia wa Kenya amenyanyaswa kama ulivyodai.
Kilichowakuta ni mambo ya kisheria. Wameingia nchini bila nyaraka zinazowaruhusu, sheria ikachukua mkondo wake.
Nina imani umepata mwanga.
Bwashe wacha uhuni, wanaoingia Kenya ni wachaga au watanzania? Wakazi wa Rombo si wachaga tuu!Mkuu wa wilaya amesema wanawasaka kila kona ili sheria ichukue mkondo wake kwa sababu wachaga wakiingia upande wa Kenya bila kuvaa barakoa nao huwa wanakamatwa na kushtakiwa!
Ila ukiwa "mzalendo" kama ulivyojitangaza, ukifanyiwa "chokochoko" na hao ndugu zako wakenya unabaki na roho safi kabisa!Kama mtanzania mzalendo,
Siafikiani kabisa na hizi chokochoko zinazoendelea dhidi ya ndugu zetu wakenya.
Tony usisahau kuna malori yamejaa mahindi ambayo mnadai yana sumu mmeyazuia mpakani..mnalinda raia wenu na huku pia wanalinda sheria za nchi.Tukiingia mitaani hapa Kenya tutapata ndugu zenu wengi ambao hawana vibali. Kuna wakati MP wetu alisema hao wasiokuwa na vibali wafurushwe, nakuambia Tanzania nzima kuliwaka moto hata bunge lenu lilifanya mjadala kuhusu matamshi ya MP huyo. Yaani kabisa mnaogopa Watanzania walio Kenya kukamatwa kwa kukosa vibali lakini nyinyi mnawakamata Wakenya. Mpo wengi hapa Nairobi, ngojeeni tu.
hii SIRIkali inaendeshwa kama na watoto wadogo, ujinga mwingi!.Chokochoko mnazitafuta wenyewe, Mambo yakishaharibika mnaanza kuwasingizia WAPINZANI.
Wale wahamiaji haramu wa Ethiopia mbona waliachiwa bila masharti yoyote?
Unadhani Ni taifa lipi litafurahi raia wake wakionewa?
Hao wafugaji bila shaka Ni jamii ya wamasai, wamasai wapo Kenya na TANZANIA miaka na miakaa na hawajuagi kabisa habari za mipaka ya kimataifa.
Na tumekua tukiwachukulia hivyo miaka na miaka, Kwa maana Ni ndugu zetu pia.
Sasa hivi Ni visasi visivyo na msingi,
Mkiendelea hivi na kesho mtakuja kusema na wanyamapori wanaovuka kutokana Kenya kuja Tz wataifishwe au wachomwe Moto kwa kuvuka kinyemela
Kiukweli, watanzania tusifike huko.
Usichopenda ufanyiwe, nawe usimfanyie mwenzio.
Sio tu wee kidogo TU ukiguswa unataka mkae meza ya maridhiano.
Kama mtanzania mzalendo,
Siafikiani kabisa na hizi chokochoko zinazoendelea dhidi ya ndugu zetu wakenya.
Hujisomi weweIla ukiwa "mzalendo" kama ulivyojitangaza, ukifanyiwa "chokochoko" na hao ndugu zako wakenya unabaki na roho safi kabisa!
Sitaki kukupa majina hapa. Utajitambulisha tu wewe mwenyewe.
Kuna sababu "nijisome"?Hujisomi wewe
Wamasai wapi juu ya sheria?Chokochoko mnazitafuta wenyewe, Mambo yakishaharibika mnaanza kuwasingizia WAPINZANI.
Wale wahamiaji haramu wa Ethiopia mbona waliachiwa bila masharti yoyote?
Unadhani Ni taifa lipi litafurahi raia wake wakionewa?
Hao wafugaji bila shaka Ni jamii ya wamasai, wamasai wapo Kenya na TANZANIA miaka na miakaa na hawajuagi kabisa habari za mipaka ya kimataifa.
Na tumekua tukiwachukulia hivyo miaka na miaka, Kwa maana Ni ndugu zetu pia.
Sasa hivi Ni visasi visivyo na msingi,
Mkiendelea hivi na kesho mtakuja kusema na wanyamapori wanaovuka kutokana Kenya kuja Tz wataifishwe au wachomwe Moto kwa kuvuka kinyemela
Kiukweli, watanzania tusifike huko.
Usichopenda ufanyiwe, nawe usimfanyie mwenzio.
Sio tu wee kidogo TU ukiguswa unataka mkae meza ya maridhiano.
Kama mtanzania mzalendo,
Siafikiani kabisa na hizi chokochoko zinazoendelea dhidi ya ndugu zetu wakenya.
Taifa lenye watu wanaokufa kwa njaa, hamna uwezo kupambana na Tanzania, ona sasa mlivyolegeaUsisahau mahindi yenu tumeyazuia
Yaan tupo mtaani tunawatafuta kila kona tuwapeleke uhamiaji mwaga mboga namwaga ugali.Chokochoko mnazitafuta wenyewe, Mambo yakishaharibika mnaanza kuwasingizia WAPINZANI.
Wale wahamiaji haramu wa Ethiopia mbona waliachiwa bila masharti yoyote?
Unadhani Ni taifa lipi litafurahi raia wake wakionewa?
Hao wafugaji bila shaka Ni jamii ya wamasai, wamasai wapo Kenya na TANZANIA miaka na miakaa na hawajuagi kabisa habari za mipaka ya kimataifa.
Na tumekua tukiwachukulia hivyo miaka na miaka, Kwa maana Ni ndugu zetu pia.
Sasa hivi Ni visasi visivyo na msingi,
Mkiendelea hivi na kesho mtakuja kusema na wanyamapori wanaovuka kutokana Kenya kuja Tz wataifishwe au wachomwe Moto kwa kuvuka kinyemela
Kiukweli, watanzania tusifike huko.
Usichopenda ufanyiwe, nawe usimfanyie mwenzio.
Sio tu wee kidogo TU ukiguswa unataka mkae meza ya maridhiano.
Kama mtanzania mzalendo,
Siafikiani kabisa na hizi chokochoko zinazoendelea dhidi ya ndugu zetu wakenya.
uncle magu alisema 'anataka kuona wafungwa wanamenyeka haswaa ππππSizani kama ni sahihi sanaa kuwatia korokoroni badala yake kwann wasiwarejeshe tu makwao ? Sasa kwenda kuwatia sero mwaka tuna walisha bure si kheri uwaachilie wasepe waka jiunge nna familia zaao