Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulilegea au mlilia lia tu[emoji1787][emoji1787]Taifa lenye watu wanaokufa kwa njaa, hamna uwezo kupambana na Tanzania, ona sasa mlivyolegea
Malezi/elimu/mazingira ya Tanzania yana walakini.Kiukweli hii awamu ya 5 inaongozwa kimkupuo hata bila kufuata haki
Nawaza Kenya nayo ikiamua kujibu
Nn kitaendelea kwa hili??
Kenya haina uwezo wa kufanya chochoteKiukweli hii awamu ya 5 inaongozwa kimkupuo hata bila kufuata haki
Nawaza Kenya nayo ikiamua kujibu
Nn kitaendelea kwa hili??
Tulilegea au mlilia lia tu[emoji1787][emoji1787]
Awamu gani ilikaa vema na wakenya mapunguani kikwete alijitahidi ila ikakaa na nyie mara watalii mara pemba ni yenu. Wakenya ni wapuuziHuu uzi nilikusudia kutolea tamko ila imebidi nikaushe baada ya kuona comments za Watz, ni dhahiri Watanzania wengi wanachukizwa sana na kinachofanywa na hii awamu kwenye suala la mahusiano baina yao na majirani, wamechongewa hadi mwisho.
Nimeona comments za Wakenya kote FB hadi Tweeter kuhusu hizi habari, kwa kweli ni mwendo wa chuki kwa kwenda mbele, yaani kuna mara moja moja nilikua naiga lafudhi za Kitz huku Nairobi ila kwa sasa labda nitumie lafudhi za Kipemba au Kimombasa....maana ukitiririka Kiswahili cha Kisukuma unaona jamaa wanakutupia jicho fulani hivi kama anayetamani akuzabe kibao.
Vyombo vya Kamati ya Usalama Wilaya ya Rombo vimewakamata wahamiaji haramu kutoka nchi jirani ya Kenya ambao wameingia Nchini bila kufuata utaratibu kwa maana ya hawakupitia boda iliyo rasmi na hawakuwa na nyaraka zozote za kiuhamiaji
Wamekamatwa kupitia msako halali, na imeelezwa walikuwa watu 26 ambapo kati yao wanaume ni watatu na wanawake ishirini na tatu
Baada ya kukamatwa, wahamiaji hao walifikishwa kituo kikuu cha Polisi cha Rombo. Wakiwa hapo wamefanyiwa upekuzi pamoja na kuhojiwa
Pia wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Rombo na wamekutwa na hatia baada ya kukiri makosa yao. Wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani au kulipa faini ya 500,000
======
MYTAKE
Hii wanalipa gharama za wale wa Bodaboda! next watalipa gharama ya kuzuia Mahindi!
CC: Tony254
Naona sasa tunakoelekea ni kubaya, yani kila kuchao naona mambo yanazidi kua mabaya zaidi..Huu uzi nilikusudia kutolea tamko ila imebidi nikaushe baada ya kuona comments za Watz, ni dhahiri Watanzania wengi wanachukizwa sana na kinachofanywa na hii awamu kwenye suala la mahusiano baina yao na majirani, wamechongewa hadi mwisho.
Nimeona comments za Wakenya kote FB hadi Tweeter kuhusu hizi habari, kwa kweli ni mwendo wa chuki kwa kwenda mbele, yaani kuna mara moja moja nilikua naiga lafudhi za Kitz huku Nairobi ila kwa sasa labda nitumie lafudhi za Kipemba au Kimombasa....maana ukitiririka Kiswahili cha Kisukuma unaona jamaa wanakutupia jicho fulani hivi kama anayetamani akuzabe kibao.
Naona sasa tunakoelekea ni kubaya, yani kila kuchao naona mambo yanazidi kua mabaya zaidi..
Tukiendelea hivi sijui hko mbele kutakuaje manake km ni sai tayari wananchi wa pande zote mbili wamejawa na chuki flani dhidi ya wenzao..
Ila tuombe Mungu tu huenda tukapata kiongozi anayejielewa zaidi hasa kw upande wa kusini kidogo huenda hizi figisu figisu zikapungua