Wahamiaji haramu toka Kenya watiwa mbaroni Tanzania

Hii jumuiya ya AM ni ya kijinga sana kuna wataalam wa tabia za viumbe waliwahi kusema sisi Waafrika ni watu wa mihemuko zaidi kuliko magrupu mengine ya wanadamu
 
Kiukweli hii awamu ya 5 inaongozwa kimkupuo hata bila kufuata haki

Nawaza Kenya nayo ikiamua kujibu
Nn kitaendelea kwa hili??
 
Na wale wakoma wetu waliokuja kuomba-omba huko Nairobi muwarudishe kwao Dodoma waje kulima,
wengi wao hawana nyaraka halali za kuishi huko kenya.
 
Kiukweli hii awamu ya 5 inaongozwa kimkupuo hata bila kufuata haki

Nawaza Kenya nayo ikiamua kujibu
Nn kitaendelea kwa hili??
Malezi/elimu/mazingira ya Tanzania yana walakini.
Watanzania wengi wanakuwaga wanyonge sana mbele ya mataifa mengine.
Kuna shida kwe mifumo yetu ya maisha.

Sasa wewe kwa post ya kinyonge kama hii unaweza kusimama na kutetea haki yako mbele ya mtu wa taifa lingine!?
Nyie ndio mnasababisha hawa nyang'au watuite malazy.
 
Wawaachie washikaji wajichenge zao Kenya,Si washabadilisha maamuzi yao kuhusu Mahindi.
 
Nawaza tu kuna wa Tanzania wangapi wanaishi Kenya kimagumashi?

Wakiamua na wao ku deal nao tutawaona wabaya

Kwakweli kabudi na jopo lako la diplomasia mnafeli pakubwa
 
CEO geza,
Assist na wizara husika kuhusu professional omba omba wwaliomo huku kenya.
Hili ni jambo la kiutapeli.
Hali ni hatari!
Wasilisha.
 
Tulilegea au mlilia lia tu[emoji1787][emoji1787]

Huu uzi nilikusudia kutolea tamko ila imebidi nikaushe baada ya kuona comments za Watz, ni dhahiri Watanzania wengi wanachukizwa sana na kinachofanywa na hii awamu kwenye suala la mahusiano baina yao na majirani, wamechongewa hadi mwisho.
Nimeona comments za Wakenya kote FB hadi Tweeter kuhusu hizi habari, kwa kweli ni mwendo wa chuki kwa kwenda mbele, yaani kuna mara moja moja nilikua naiga lafudhi za Kitz huku Nairobi ila kwa sasa labda nitumie lafudhi za Kipemba au Kimombasa....maana ukitiririka Kiswahili cha Kisukuma unaona jamaa wanakutupia jicho fulani hivi kama anayetamani akuzabe kibao.
 
Awamu gani ilikaa vema na wakenya mapunguani kikwete alijitahidi ila ikakaa na nyie mara watalii mara pemba ni yenu. Wakenya ni wapuuzi
 
Hivi Vita vya chini chini
 
Naona sasa tunakoelekea ni kubaya, yani kila kuchao naona mambo yanazidi kua mabaya zaidi..
Tukiendelea hivi sijui hko mbele kutakuaje manake km ni sai tayari wananchi wa pande zote mbili wamejawa na chuki flani dhidi ya wenzao..
Ila tuombe Mungu tu huenda tukapata kiongozi anayejielewa zaidi hasa kw upande wa kusini kidogo huenda hizi figisu figisu zikapungua
 

Mimi nilijua hao waliokamatwa ni watu wa Nairobi Nairobi au kwingine, kumbe wamama wa Kimaasai.... Duh! Kumbe Wakenya waliokamatwa upande wa Tanzania walikua wanawake wa jamii ya Kimaasai, ndio washachonganishwa hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…