Ukisha maliza kutafakari haya na kutambua kwamba hizi ni peremende tu kwa watoto watukutu wanaojiliza kila mara; tafuta nafasi utuletee taarifa kuhusu uhujumu mkubwa anao wafanyia waTanzania na mali za taifa hili.Safi sana ,Wana Kila sababu za kufanya hivyo
-Kaongeza Bajeti ya TARURA kutoka Bilioni 270 Hadi Bilioni 850(Zote wanafanya wao)
-Kaongeza Bajeti ya Matengenezo TanRoads kutoka Bilioni 650 Hadi Bilioni 870(zote wanafanya wao)
-Kapumguza kazi za Force Account
-Kaongeza Bajeti ya Maji Kutoka Bilioni 400 Hadi Bilioni 890
-Kaongeza WiGo wa thamani ya miradi inavyotakiwa kufanya na wakandarasi wa ndani tuu kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50
-Kaanzisha Samia infrastructure Bond Ili wapate mtaji wa kazi.
-Kaanzisha utaratibu wa kutengwa 30% ya kazi za Ujenzi Kwa wakandarasi wanawake,vijana na makundi Maalum .
Kwa hayo na.mengineyo Kwa nini wasimnunulie Helikopta?
Mwisho kama unadhani ni vimbwanga basi endelea na mawazo hayo hayo ,hawajafanya Kwa bahati mbaya.
Kwa mfano: msihi atambue kuwa waTanzania wanao uwezo mkubwa zaidi wa kufanya mambo yao ya maendeleo bila ya kutegemea waletewe maendeleo na watu wake toka huko Arabuni. Misitu na mapori waTanzania wanayamudu vizuri sana, hakuna sababu ya kugawa raslimali kama hizo kwa hao anaoamini watatuletea maendeleo.
Kwa ufupi tu ni hivi: Mwambie kuwa waTanzania siyo wavivu, siyo wezi, n.k..; wanachotaka ni uongozi tu mzuri wa kusimami shughuli zao za maendeleo, basi.