mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Kwa taarifa yenu siyo wakandarasi walionunua helikopita hiyo.....narudia tena siyo wakandarasi.....akili kumkichwaaa🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapo soma maandishi ya aina hii toka kwako, najuwa kuwa najadili jambo muhimu na mtu asiye na upeo hata kiduchu. Na hii ndiyo sababu hata huyo 'Chura Kiziwi' hajui kabisa tofauti ya maswala haya.; "kukopa na kuuuza mali za nchi kwa hasara"!Pesa zenu mlizitoa wapi zaidi ya kujengwa na kukopeshwa? Kwa nini hamkufanya wenyewe?
Wewe huna unalolijua ,unasugua maneno tuu kama kawaida yenu.Ninapo soma maandishi ya aina hii toka kwako, najuwa kuwa najadili jambo muhimu na mtu asiye na upeo hata kiduchu. Na hii ndiyo sababu hata huyo 'Chura Kiziwi' hajui kabisa tofauti ya maswala haya.; "kukopa na kuuuza mali za nchi kwa hasara"!
Hiyo ni rushwa Ile ya kuua Taifa kabisa! Shwaini!Hiyo sio Rushwa kweli?
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?
Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.
===
Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.
Kwanza elewa kuwa maisha ya mTanzania yeyote siyo duni, na ndiyo maana tutawaadabisha washenzi nyinyi mnaodhani maisha yetu ni ya duni.Utumwa upi unaopelekwa wewe? Bila Mwarabau kumpa Mafuta Nyerere Tanzania si inge collapse na kutishia kuwa ya kitumwa tena?
Narudia kuuliza ,nani mwenye uchungu na maisha Yako duni?
Tulia ww ela za ma engineer izo wacha watu waeke ela kwa kampeni .we kama ujaona mchango wake wenzako wameonaPesa za kuuza maliasili zetu kwa wageni ndizo zinatumika kwa mlango wa nyuma.
Ajabu, wale makandarasi wanaolalamika kila siku hawalipwi pesa zao kwa wakati, leo wanatoa wapi pesa za kununua helkopta? na milioni 100 za mafuta?
- Wajinga wa awamu hii hawana hata akili na uwezo wa kutudanganya.
Hii awamu ya Samia niseme ndio ya hovyo kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya hili taifa, pesa za umma zinaibwa hovyo bila hatua kuchukuliwa, na kutumika hovyo kwenye mambo ya kijinga yasiyo na maana.
Mfano; mabango ya Samia nchi nzima nini maana yake? Samia anajigeuza Pepsi au Fanta anaanza kujitangaza kila mahali! simply wajanja wanapiga dili zao hapo nae amelala tu anajiita chura kiziwi.
Nchi inaongozwa na akili ndogo sana.
Hakika siwajui,mimi nawatambua ERB kwa wahandisi na CRB kwa makandarasi.Hujawahi kuusikia huu umoja wa wahandisi? Mimi mwenyewe sijawahi.
Muulize swali hilo 'Chura Kiziwi'. Ni wajibu wake kuhakikisha hilo halitokei na maswali ya aina hiyo hiyo yaelekeze kwake. Jibu siyo kugawa kwa waarabu. Asimamie na kuhakikisha kwamba sisi wenyewe tunamudu kazi hiyo. Uwezo huo tunao sana, ni yeye tu ndiye anaye tukwamisha, na ndiyo maana hatutaki nyinyi waarabu mtumie njia hiyo kujiingza hapa kwetu na kutufanya watumwa wenu. Huyu anawafanyia kazi nyinyi, waarabu, ili mrudi hapa kwa kisingizio kwamba sisi hatuwezi. Huu ni upumbavu.Swali: Mtu mweusi wewe unaweza nini ikiwa hata Mwendokasi umekushinda?
Huenda ni kundi la Mafisadi linalojifanya kuwa ni Umoja wa Wahandisi.Hakika siwajui,mimi nawatambua ERB kwa wahandisi na CRB kwa makandarasi.
Huna hoja wewe nyumbu.Kwanza elewa kuwa maisha ya mTanzania yeyote siyo duni, na ndiyo maana tutawaadabisha washenzi nyinyi mnaodhani maisha yetu ni ya duni.
Siku zote nilikuwa sijakuelewa nikuweke wapi, lakini leo kutokana na mstari huo wa juu nimetambua wewe hasa ni mtu wa aina gani hasa. Ni kundi lililoingia humu kupigania ajenda hii ya kuwadhalilisha waTanzania.
Kwa hiyo sasa nitakuchukulia hivyo, wewe ni kundi la wadhalilishaji wa waTanzania, kwa misingi ya uarabu wenu.
Kwa hiyo 'Chura Kiziwi' sasa hivi analipa fadhira kwa 'waarabu waliompa Nyerere mafuta'? Itakuwa akili zenu hazifanyi kazi sawasawa.
😂😂😂Huenda ni kundi la Mafisadi linalojifanya kuwa ni Umoja wa Wahandisi.