Pre GE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani Chadema nzima Kwa miaka zaidi ya 20 Sasa mumekosa mtu wankuongoza chama.zaisi ya Mbowe,huo ni uthibitisho kwmaba hakuna mnachoweza zaidi ya majungu,fitina na maneno Kwa Waarabu ila Wazungu Wala hatuwasikii
Unaniwekea mambo ya CHADEMA hapa mimi yananihusu vipi zaidi ya kuwataka wajibidishe kuwaondoa CCM ambayo imekuwa adui ya mTanzania? Wkisha fanya kazi hiyo, waTanzania wenyewe watajuwa lipi la kufanya, hata bila CHADEMA.
Nyinyi mmefanikiwa kuikiteka hiki chama cha CCM kiwe chombo cha kuwafanyia uchafu wenu.
 
Huna hoja wewe nyumbu.

Maswali yangu hujajibu 😂😂😂😂😂

Mwisho unajikanyaga kanyaga mara useme Watanzania maskini mara useme sio maskini Wala duni,be consistent basi husomeki 😆😆

Mwisho nakwambia hivi, Uwekezaji utaendelea kama kawaida na Waarabu waje Kwa Wingi sana Kwa sababu ndio wenye pesa Kwa Sasa Duniani na wewe kama unazo kawekeze usilete Makelele yasiyokuwa na msaada ,hakuna anaetaka kelele zako.
Wewe sasa nakujuwa vizuri, kwa hiyo sikuachii tena utambe. Kibaraka mkubwa wa waarabu!
 
Huna hoja wewe nyumbu.

Maswali yangu hujajibu 😂😂😂😂😂

Mwisho unajikanyaga kanyaga mara useme Watanzania maskini mara useme sio maskini Wala duni,be consistent basi husomeki 😆😆

Mwisho nakwambia hivi, Uwekezaji utaendelea kama kawaida na Waarabu waje Kwa Wingi sana Kwa sababu ndio wenye pesa Kwa Sasa Duniani na wewe kama unazo kawekeze usilete Makelele yasiyokuwa na msaada ,hakuna anaetaka kelele zako.
Your days are numbered.
 
Hao ndio wasomi wetu ukiwaambia Kishimba ana akili watabisha
 
Attachments

  • IMG_8868.jpeg
    IMG_8868.jpeg
    60.5 KB · Views: 1
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Yuda sikuzote ni msaliti
 
Give and take..., Scratch my back I will Scratch yours.....

Kwisha habari yao TUCASA - Umoja wa Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania, TLS - Tanganyika Law Society, BAKWATA n.k zote sasa ni mojawapo ya jumuiya za CCM na ni vichochoro vya kutengeneza rushwa, ufisadi, sheria mbovu n.k
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa kweli.
Daktari Samia atatufikisha mbali sana.
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Wanarudisha fadhila za tenda.
 
Hakika siwajui,mimi nawatambua ERB kwa wahandisi na CRB kwa makandarasi.
Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha kuhusu Umoja wa makandarasi Tanzania TUCASA tulipofanya mkutano wetu wa kupata wanachama waanzilishi pamoja na kupitisha katiba ya chama ambayo itakua muongozo wetu katika shughuli zetu za kila siku.Mkutano huu ulifanyika mwezi wa tatu katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Center.

View: https://m.youtube.com/watch?v=q3DcEmpCTwM
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Kama ni kweli Nia ya kutoa zawadi ni nzuri ila kama kweli walikuwa na nia hiyo wangetafuta mradi mmoja wa barabara, ama hospitali wakajenga vizuri ikawa zawadi ambayo angeithamini na watanzania wangeithamini.huyu ni Rais wa nchi anahudumiwa na serikali, na kiusalama hapandi gari ama chopa isiyokuwa designated kwake na vyombo, so zawadi inayotaka kutolewa haina maana.tafuteni mradi mumkabidhi mh. rais atawashukuru sana kuliko hicho mnachopanga
 
Mfumo unateka nyara taasisi zote za kiraia za kitaaluma, biashara, michezo, burudani ziwe chini ya mwamvuli wa chama dola kongwe CCM

TUCASA NA CCM
1721486994705.png
 
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli?

Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ndio tumeamua sasa hivi kila mtu kuwa chawa ili naye aende kula kwa urefu wa kamba yake?

Vijana tuamke kuokoa taifa hili, kwa haya yanayoendelea na nchi itafutika kwa kila mtu kuchota kwa nafasi yake bila kujali maslahi ya nchi.

===

Umoja wa Wakandarasi na Wahandisi Tanzania umemnunulia Helkopta Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aitumie Helkopta hiyo wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwakani (2025) atakapokuwa anapeperusha bendera ya CCM kama mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza na wanahabari leo, Jumamosi Julai 20.2024 Msemaji wa umoja huo Mhandisi Yuda Thomas Kemincha amesema sambamba na kununua Helkopta hiyo lakini pia wametoa mafuta ya shilingi milioni 100 za Tanzania, huku akitumia nafasi hiyo kufafanua kuwa hatua hiyo inakuja kama sehemu ya kurudisha fadhila kwa Rais Dkt. Samia kuhusiana na yale aliyoyafanya nchini.

Nyie wahandisi na wakandarasi ukweli ni kwamba mnajipigia pesa kweli. Haya nunueni hilo li helicopter lakini litamwangusha Ndugu yenu kwa mapenzi ya mungu
 
Back
Top Bottom