Lissu hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Yule anafaa kuwa Mwanaharakati wakujitegemea akiwa chini ya Mabeberu.Moja ya mapungufu ya Lissu... ana mdomo mchafu, nadhani ana shida ya malezi ya wazazi utotoni
Research hiyo uliifanya lini mkuu?Na majority ya watanzania wanapenda kusikiliza kuona na kusoma habari za chadema. Kwahyo vyombo vya habari vinajiuwa vyenyewe.
mbona inafahamika wazi huyo kibaka na tapeli wa siasa ni mropokaji na mtu wa mdomo chafu sana,๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
Bull crap!๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐

Wasuse tuu huo ndo ukweli, wengi wanatumika na ccm๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
1. Balile ni kada wa wa ccm, katumwa kujiandikia uchafu huu na apuuzwe.๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐