Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Atakuwa bila shaka na ndiye mhariri aliye uliza maswali uchwara siku ya mkutano na wahariri.Vipi, na wewe ni mhariri?

Wamezoea bahasha, wanajulikana, vituo vingi vya radio na Tv's wamepewa pesa nyingi sana na serikali,hasa ile awamu ya marehemu. Hivyo TL hajakurupuka.𝐖𝐀𝐇𝐀𝐑𝐈𝐑𝐈 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐖𝐀𝐒𝐔𝐒𝐈𝐀 𝐒𝐇𝐔𝐆𝐇𝐔𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Maua yako mkuu👉💐💐💐Nakazia, Balile ni nonsense, tunampuuza . Kwanza hayo magazeti siku zote yanaindika Chadema vibaya.
Inaweza kuwa alimsema yule utopia writer's paskali,wao wanaona anavyokuwa chawa?Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Watu wa singida ndivyo walivyoMoja ya mapungufu ya Lissu... ana mdomo mchafu, nadhani ana shida ya malezi ya wazazi utotoni
Sio mdomo mchafu. Nikwamba jamaa uwa hapaki paki rangi. Kama ni chafu anakwambia ni chafu kama ni safi vilevile atakwambia.Moja ya mapungufu ya Lissu... ana mdomo mchafu, nadhani ana shida ya malezi ya wazazi utotoni
Wamelambishwa rushwa waseme ukweli. Hata hivyo ni mufa wamesaliti umma to hell with themKatika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Hata wao wanahitaji ushirikiano wa Lisu. Nani atasoma habari za ccm miaka hii?Wahariri Wamechelewa kutoa tamko
Siku Lisu alipokutana na wahariri alitukana waziwazi mmoja wa wahariri alipomuuliza swali
Ilitakiwa toka siku ile watoe tamko la kutompa ushirikiano