Hao waandishi wa habari wanasusia nini wakati hawjahi hata siku moja kuandika au kutangaza habari za CHADEMA? Ungesema wamesusia tena ningekuelewa. Mara ya mwisho kuona habari ya CHADEMA kwenye TV au gazeti ilikuwa lini?𝐖𝐀𝐇𝐀𝐑𝐈𝐑𝐈 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐖𝐀𝐒𝐔𝐒𝐈𝐀 𝐒𝐇𝐔𝐆𝐇𝐔𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Wewe ndiye unafaaa inatosha.Lissu hafai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Yule anafaa kuwa Mwanaharakati wakujitegemea akiwa chini ya Mabeberu.
Hivi nani ananunua magazeti zama hizi? Kwanza ni lini hao wahariri wameripoti mazuri ya CHADEMA Hilo la kususia halina impact yoyote kwasababu walikuwa wanaandika mabaya tu hivyo hata wakikusia wasusie tu maana tunajua mabaya watayaandika Yale mazuri wataendelea kuyaacha kama kawaida.Wanajitekenya tuu. Utandawazi haujitaji hayoo makaratasi
Wahariri Wamechelewa kutoa tamko
Siku Lisu alipokutana na wahariri alitukana waziwazi mmoja wa wahariri alipomuuliza swali
Ilitakiwa toka siku ile watoe tamko la kutompa ushirikiano
Mkiacha kutumika kama chawa au mtakapo kataa kufanya majukumu yenu kwa maelekezo kutoka juu na kwa upendeleo kupendelea mamlaka yenye kukamatia makali mtaistahili heshima mnayoililia hapa na Watanzania watawathamini.Na hili mtafanikiwa tuu,kwa kukataa miongoni mwenu kutumiwa kama chawa wa wanasiasa ama chawa wa watawala.𝐖𝐀𝐇𝐀𝐑𝐈𝐑𝐈 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐖𝐀𝐒𝐔𝐒𝐈𝐀 𝐒𝐇𝐔𝐆𝐇𝐔𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Unakosea sana kizazi chake kuwa inclusive.Balile mtu mjinga sana huyu, aliwahi kutaka kuniharibia kibarua changu kupitia gazeti lake kwa kupewa 500K na mtu aliyekuwa na personal issue na mimi. Nimeweka nadhiri ipo siku kama siyo yeye basi kizazi chake, nitawalipa inkind.
Vipi, na wewe ni mhariri?Moja ya mapungufu ya Lissu... ana mdomo mchafu, nadhani ana shida ya malezi ya wazazi utotoni
Yes, kwa sababu yeye pia aliyaka kuniangamiza mimi ni kizazi chake. Hiyo 500K aliichukua kwa manufaa yake na kizazi chake. Nothing more, nothing less. Hata nikishindwa mimi nitawaeleza wanangu wahakikishe hawalisahau jina la huyu mtu na uzao wake.Unakosea sana kizazi chake kuwa inclusive.
Kuna mambo mengi tunafanya for personal benefit & not family benefit even scriptures teach us to be harmony & dispair dignity for generations.
Malizana na Balile achana na generation yake maana hata hiyo 500k possibly ilifanya asilale nyumbani na kuleta taharuki ndani ya family, it was a loss. Tupendane tuache tabia ya visasi & good enough unaendelea vizuri, you're thoroughly enjoy the life with your good family.
Mungu akutunze na Daima uwe na Neema ya kusamehe ( forgiveness)
Watu wengi wenye akili zao hawasomi tena magazeti ya bongo, hawaangalii taarifa za habari kutoka tv za bongo kwani huko kumejaa uchawa na sio habari tena. Habari zemabaki kwenye mitandao tu𝐖𝐀𝐇𝐀𝐑𝐈𝐑𝐈 𝐍𝐀 𝐖𝐀𝐀𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈 𝐖𝐀𝐒𝐔𝐒𝐈𝐀 𝐒𝐇𝐔𝐆𝐇𝐔𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀
Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama hicho, Mheshimiwa Tundu Lissu.
Akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara, Lissu aliwataja waandishi wa habari kama "watu wasio na akili" na kuwaita "maadui wakubwa wa maendeleo," jambo lililosababisha hasira na taharuki miongoni mwa wadau wa tasnia ya habari.
Kutokana na kauli hiyo, waandishi wa habari na wahariri wameeleza kusikitishwa kwao, wakisema matamshi hayo ni kudhalilisha taaluma yao na kuhatarisha uhuru wa vyombo vya habari.
Hatua yao ya kususia shughuli za CHADEMA inaashiria msimamo thabiti wa kutetea heshima na uhuru wa vyombo vya habari nchini.
View attachment 3284735
Ndio, niko Chadema digitalVipi, na wewe ni mhariri?