Status
Not open for further replies.
Wasiandike hata habari mbaya za CDM, waendeleee na mapambio kama watauza magazeti yao. Kwa sasa watu wanaingia Youtube na Instagram wanapata live news na hata recorded na nyingine wana share WhatsApp. Acha tuone mwathirika ni nani.
 
Siku hizi watu hawasomi magazeti, hawa wahariri hawawezi kuwa na magazeti ya online wala app ya kulipia wanashindwa hata na jeshi la mtu mmoja kwa mfano Mange Kimambi App ambaye watu kibao wanalipia news kusoma habari motomoto

Waandishi habari na wahariri wasubiri bahasha za CCM, safari za kulipwa posho majukwaa uchwara na matangazo ya serikali kwakuwa zaidi ya hapo hakuna mtu wa kununua magazeti yao yaliyotundikwa mezani
 
Wamezoea bahasha, wanajulikana, vituo vingi vya radio na Tv's wamepewa pesa nyingi sana na serikali,hasa ile awamu ya marehemu. Hivyo TL hajakurupuka.
 
Inaweza kuwa alimsema yule utopia writer's paskali,wao wanaona anavyokuwa chawa?
 
Tulionya humu JF kuwa tundu ni mropokaji na dikteta hatari. Kenge mpaka atoke damu ndio ajue kuwa kaumia.
 
Moja ya mapungufu ya Lissu... ana mdomo mchafu, nadhani ana shida ya malezi ya wazazi utotoni
Sio mdomo mchafu. Nikwamba jamaa uwa hapaki paki rangi. Kama ni chafu anakwambia ni chafu kama ni safi vilevile atakwambia.

Kwani ni uongo? Waandishi wa habari wamekuwa maadui wakubwa wa maendeleo. Badala ya kufanya kazi katika taaluma yao wamegeuka kuwa machawa.

Habari kwenye public zinatolewa zimechakachuliwa. Ile habari isiyowakera watu flani wakubwa ndo utaisikia. Ile itakayowakera hautaisikia. Hata kama inamanufaa makubwa kwenye jamii.

Habari ya hovyo kama italazimika kuifikia jamii basi itapakwa pakwa rangi ionekame ni nzuri. Hata kama inaumiza jamii. Kwa kifupi tasnia ya habari iko corrupt. Lissu kawachana straight.

Anyway, deni la taifa bado ni himilivu๐Ÿ˜Š
 
Wamelambishwa rushwa waseme ukweli. Hata hivyo ni mufa wamesaliti umma to hell with them
 
Huyo ni kada mpuuzi wa ccm tamko lake halina mashiko, anataka kulaza njaa wahariri wenzake sasa usipoandika hbr za chadema utaandika za chama gani kwa sasa,

Chadema kwa sasa ni kama maji usipoyaoga utayanywa tu
 
Naungana na lissu waandishi wengi ni vilaza kitenge, zembwela n the like
 
Wahariri, kwa nini mnakuwa emotional sana? Balile jibu na wenzako...
 
Wahariri Wamechelewa kutoa tamko

Siku Lisu alipokutana na wahariri alitukana waziwazi mmoja wa wahariri alipomuuliza swali

Ilitakiwa toka siku ile watoe tamko la kutompa ushirikiano
Hata wao wanahitaji ushirikiano wa Lisu. Nani atasoma habari za ccm miaka hii?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ