Wakashtaki kwa aliyekuwa anawatuma waandike uzandiki na kebehi kwa watanzania henzi za mwendazake.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Kwa ule ushenzi waliokuwa wanaandika kuna mtu ameenda kuwasikiliza ???Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Yale yalikuwa ni magazeti ya kumsifia marehemu kichaaWahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Hahahaha....toka mwezi wa Tatu....Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Kwani musiba alikuwa mmiliki wa chochote? Huyo alikuwa Toilet paper tu. Kisha kuwa flashed.Hivi mtu anawezaje kuajiriwa na Musiba !
Musiba ana magazeti au vipeperushi? Yaani wakiitwa Wahariri na wa Tanzanite anakwenda? Huu mzaha sasa.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Hakuna hakimu wa kumfunga Musiba bila ripoti ya Daktari.Machizi wa mirembe walikuwa wanalipana. Wamfunge kabisa!
Acha wakome shenz taipu wakubwa hawa,huo ndo mshahara wa kumtumikia Shetani.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Kukye🤣🤣Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Hao waandishi ni wajinga tu na wahuni wenzake,sasa wanazama nae ndo wanapiga kelele?Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu...