GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simpendi Cyprian Musiba ila nitamuona Mpumbavu zaidi kama akiwalipa kwani kwa aina ya Uchochezi walioufanya dhidi ya Watu wasiokuwa na Hatia nchini huku akiwachonganisha na iliyokuwa Serikali ya Hayati Rais Dkt. Magufuli Mshahara pekee unaowafaa hawa Wahariri ni Kutolipwa kabisa, Njaa iwapate na ikiwezekana wapotee kabisa duniani au waanze kuwa Mashoga ( Mabwabwa ) hapa mjini.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu...
Wanavuna walichokipanda. Wakadai pesa zao chato
Kumbe alikuwa anabebwa?Baada ya utawala wa sheria kurudi kwa kiasi fulani huyu jamaa/Musiba nae anapotea na kupoteza kwa kasi ya mwanga! [emoji51][emoji51]
Magazeti yake yalikuwa yakivunja sheria waziwazi lakini serikali ya mwendazak e iliyokuwepo madarakani wakati huo ilikuwa ya kihuni na ya ujanjaujanja hivyo serikali hiyo ikawa inampa baraka zote kuendelea kuvunja sheria..
Bado mashaka ni mengi, katiba mpya ingepatikana tungeamini uwepo wa utawala wa sheria.Baada ya utawala wa sheria kurudi kwa kiasi fulani huyu jamaa/Musiba nae anapotea na kupoteza kwa kasi ya mwanga! π¬π¬
Magazeti yake yalikuwa yakivunja sheria waziwazi lakini serikali ya mwendazak e iliyokuwepo madarakani wakati huo ilikuwa ya kihuni na ya ujanjaujanja hivyo serikali hiyo ikawa inampa baraka zote kuendelea kuvunja sheria...
Magazeti yake yalikuwa kwaajili ya kumsifia magufuli, kuwatukana wapinzani na kuwazushia uongo wale wote waliokuwa kinyume na uvunjifu wa sheria wakati huoKumbe alikuwa anabebwa?
Hatari sana hii
Jiwe alikuwa hana haja ya kutakatisha fedha kwa kutumia kijarida uchwara..His main objective with this kijarida uchwara was to cook propagandas..so he has to finance it..nina wasiwasi matawala aliyepita alikuwa anatumia kampuni inayomiliki hayo magazeti kutakatisha fedha.
wasiwasi unakuja kwasababu sidhani kama yalikuwa yananunulika mtaani.
Mashaka ni mengi ndio ila kuna heri... Sio kama wakati wa yule diktetaBado mashaka ni mengi, katiba mpya ingepatikana tungeamini uwepo wa utawala wa sheria.
Ndio maana Veronica France alichanganyikiwa na msiba WA Magu.Hawajalipwa tangu mwezi wa tatu?
Mwendazake kafariki mwezi wa ngapi vile?
Sasa nimejua Nani alikuwa mmiliki halisi wa haya magazeti
Acha wakome shenz taipu wakubwa hawa,huo ndo mshahara wa kumtumikia Shetani.
Musiba hamiliki kampuni yoyote ile ya Magazeti,yale yalikuwa ni Magazeti ya Ikulu,yalianzishwa na Magufuli kwa ajili ya Propaganda za utawala wake...
Hivi huyo jamaa anaundugu na yule dogo wa kidimbwi Patrick Cyprian?Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu...
Walitumwa kuandika upuuzi, wacha karma iwatandikeWahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu....