Wahaya wana Akili sana kiukweli

Sema walikuwa na akili ila sio hawa
Haya walivumbua kuyeyusha chuma miaka elfu 2 kabla ya wazungu ila sijui walikwama wapi na zile akili
Wangeendelea vile naona wao ndio wangekuwa wa kwanza duniani kutengeneza gari 😄
 
Kulinganisha na watunguu, watumbatu, wana-kwerekwe au wa-makunduchi?
 

Kwangu kipimo cha akili cha Kabila hukipima kwa kangalia maendeleo ya Eneo husika.
Sasa huko Bukoba watu wanakufa kwa umasikini wakisubiri Serikali Iwajengee Dispensary na Shule za kata ndio unasema wana IQ kubwa?

Kwangu my role model ni Kilimanjaro..... Secondary wamejenga kila pahala; wana zaidi ya dispensary moja kwa kila kijiji; magorofa hadi huko vijijini ndani ndani; sijui wanafunzi kukaa chini, huwa wanasikia tu kwenye radio na TV, Miundo msingi mingi wanakarabati wenyewe nk nk nk na ndio sababu wanapenda kwenda kwao kila mwisho wa mwaka tofauti na makabila mengine ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…