Wahaya wana Akili sana kiukweli

Niliuthuria mkutano mmoja wa wayaudi/kutoka israel walikiri kuwa ndani ya hii nchi wanawapigia salute wachagga maana bila wao cjui tanzania ingekuwaje...Mwisho wa kunukuu..watu walio spy arthi ya rutuba Hapa kwa miaka 12 ndio walituoa konklution yao
Subiri siku yao itakuja. Tutawaongelea

Mbona hamjiamini?
Hajasema makabila mengine hayana akili
 
Utakuwa umepata basha wa kihaya wewe sio bure
 
Kwangu kipimo cha akili hukipima kwa kutumia maendeleo ya Eneo husika.
Sasa huko bukoba watu wanakufa kwa umasikini na kusubiri kujengewa Shule za kata na serikali nao unaita wana IQ kubwa?
Kwangu my role model ni Kilimanjaro.....
Tunaongelea wahaya hapa sio mkoa. Na hakuna mkoa wa wahaya hapa Tz. Sema tukuazime akili japo kidogo

Hebu waza hiv.
Tanzania ni ya 29 kwa umaskini Dunia hii.lakin haimaanisha Tanzania nzima hakuna watu wenye akili.
Umeelewa my point
 
Hapana mkuu. Sijatukana. Nimeijibu mada kama ilivyo. Usinilishe maneno.
Nimejibu nilivyowazoea watz wenye akili ndogo. Kutumia stendi ya Bukoba kudefine wahaya hawajaendelea.
Huku wakisahau Barabara za lami Hadi vijijini, maji safi, nyumba Bora vijijini, Airport nzr tu, bandari nzr tu, hospital Bora, shule kibao nk
 
Punguzeni hizi mambo za kishamba kusifia makabila kulipitwa na wakati.

Kama unaona hao jamaa wana akili basi ww na jamii yako mtakuwa wajinga sana
 
M
Nimejibu nilivyowazoea watz wenye akili ndogo. Kutumia stendi ya Bukoba kudefine wahaya hawajaendelea.
Huku wakisahau Barabara za lami Hadi vijijini, maji safi, nyumba Bora vijijini, Airport nzr tu, bandari nzr tu, hospital Bora, shule kibao nk
Mkuu takwimu za Taifa zinaonesha Kagera ni moja ya mikoa Kumi ya Umaskini uliotopea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…