Wahaya wana Akili sana kiukweli

Sasa mbona unanilazimisha. Nakwambia hivi,stendi ya Basi sijafika.

Wewe akili yako ni ya Kihaya basi na wahaya ni weusi tiii- msome Daktari wenu huyu...


Anakenua meno tu sa hizi matembele na matoke kwenye meno.
Mimi sio mweusi. Acha kukalili
 
Haya uliyoyaandika yanaonyesha ulivyo na akili ndogo.
Tunaongelea wahaya hapa sio mkoa. Na hakuna mkoa wa wahaya hapa Tz. Sema tukuazime akili japo kidogo

Hebu waza hiv.
Tanzania ni ya 29 kwa umaskini Dunia hii.lakin haimaanisha Tanzania nzima hakuna watu wenye akili.
Umeelewa my point
 
Wanaojiuza hutoka sehemu panaitwa MUREBA sio wahaya isipokuwa lugha zinaendana
 


Wahaya hupatikana Bukoba mjini na Bukoba vijijini.

Sasa hao wanaojiuza wanatoka Bukoba ipi?

Mureba hupatikana wanyayangiro ambao hujiuza na sio wahaya.
 
Akili inapimwa kwa mambo mengi unafikiri kwa GPA tu hata maisha yako ni kipimo cha akili
 
Kwahiyo kila anayetoka kagera ni muhaya?
Kama asilimia 34-39 ya watoto Kagera wana utapiamlo kwa hiyo tuseme hao watoto ni wa wachaga? Nimepita wilaya za wahaya Kuna ushamba mwingi... Ulaji wa vegetables na matunda ni zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…