Kwani kingereza na kuharibu mbona ujawahi kuwa kati katikwahiyo tusio wahaya tukae pembeni si ndio mwanetu
hata sijakuelewaKwani kingereza na kuharibu mbona ujawahi kuwa kati kati
Umesema unataka kujitenga na makabira haya ,na wazungu wanao ongea kingereza wenye pesa chafu unaongea lugha yaohata sijakuelewa
sijamaanisha hivyo, na pia hata hicho kingereza mi sikifahamUmesema unataka kujitenga na makabira haya ,na wazungu wanao ongea kingereza wenye pesa chafu unaongea lugha yao
Baada Kakurwa kua MsalitiPro. Tibaijuka
Amewakilisha wahaya, wanawake wenzake, wasomi, baadhi ya wana ccm na wananchi wapenda haki
acha wakaze fuvu, tuone watawanyamazisha wangapi
Huyo Prof. Tibaijuka ni mnafiki tu hata kama ni Mhaya mwenzangu.Nataka imfikie mh Raisi, wa Tanzania najua ikulu inayo wahaya, wamtafsillie ILA kwa ufupi Prof Tibaijuka Hana Deni.
CCM wote ni wanafiki.Huyo Prof. Tibaijuka ni mnafiki tu hata kama ni Mhaya mwenzangu.