Wahaya, wanasemaga: Bagambila Balinsi baliguru kuurila, Rais Samia Prof Tunakiuka Sio kichaaa msikilize

Pro. Tibaijuka
Amewakilisha wahaya, wanawake wenzake, wasomi, baadhi ya wana ccm na wananchi wapenda haki

acha wakaze fuvu, tuone watawanyamazisha wangapi
 
Umesema unataka kujitenga na makabira haya ,na wazungu wanao ongea kingereza wenye pesa chafu unaongea lugha yao
sijamaanisha hivyo, na pia hata hicho kingereza mi sikifaham
 
Ufafanuzi umetoka wa serikali wamejibu mapigo
 
Pro. Tibaijuka
Amewakilisha wahaya, wanawake wenzake, wasomi, baadhi ya wana ccm na wananchi wapenda haki

acha wakaze fuvu, tuone watawanyamazisha wangapi
Baada Kakurwa kua Msaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…