Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

Prigozhin?

Yule kwa sasa wamemuacha kiporo tu ila siku yeyote watamuwashia lolote lile.

Alitakiwa asonge mbele tu liwalo na liwe
Lolote linawezekana mkuu, anaweza tumika kuvuga pengine.. akiingia shambulia huko nchi ndogo ndogo jirani.. kifundi unakuwa unapiga na kundi na sio nchi
 
Majukumu mengi mengi ila nipo Joannah .. nimefurahi kukuona sana.. Nahisi nilikuwa nime kumiss sana bila kujua hadi nilipo ona mwandiko wako
We hujanimisi!bibi yangu ilikuwa ukiona kitumbua njiani ukaanza kukidai eti una kitaja alikuwa anasema hivi "wewe huna hamu na kitumbua ila umeona tu"Kwa hiyo hakununuliii...ndio wewe eti Hadi unione ndio umenimiss
 
Lolote linawezekana mkuu, anaweza tumika kuvuga pengine.. akiingia shambulia huko nchi ndogo ndogo jirani.. kifundi unakuwa unapiga na kundi na sio nchi
Belarus hawezi jiloga enda shambulia majirani zake.

Ukraine tayari wamefunga palipotumika kuvamia Feb 24/2022
 
Yaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
Akiwa kwenye nchi ipi? NATO wametoa silaha kiasi gani Ukraeni na bado wanauwawa kila siku pia silaha zenyewe zikichomwa moto. Unafikiri Urusi ni Iraq?
 
Nyie wapenzi wa Putin mna vichwa vigumu.
 
Kwa sasa naona Prighozin kagoma Wagner kujiunga na MoD hivyo anarudisha silaha zote za MoD anaenda Belarus
Huo huenda ukawa ndio mwisho wa kampuni hiyo binafsi!! Ujue Anaenda Balarus bila silaha, maana sailaha zote atakabidhi urusi!! Akiwa Belarus ni kama yuko jela ya kimkakati!! Hatakuwa na nguvu maana watu wake watakaokubali kumfuata pia hawatakuwa na silaha!! Huyo ameminywa kimya kimya!!
 
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!

On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.

Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!
Kama uliamini like tukio pole sana, kiukweli lile lilikuwa igizo tu tena kwa lengo maalum kiufupi Putin na huyo boss wa Wagner ni marafiki walioshibana sana.

Kuna mission anaenda kuianzisha akitokea Belarus na ndio maana juzi umeona viongozi wa NATO wakikutana kujadili uwepo wa jamaa huko.
 
Yap! Hili ni bomu hambalo litamlipukia Putin wakati wowote,
Na sijui ni Kwa nini ameshindwa kumueliminate kabisa

Huyu ameshakula nyama ya mtu, hawezi kuacha mpaka mauti yatakapomfika

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wazee wenye busara hawafanyi mambo kama nyie vijana....we assess all conditions and we retaliate at the right time.
 
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!

On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.

Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!
Hii ni trojan horse kwa NATO.

Subiri wajiroge
 
Kama uliamini like tukio pole sana, kiukweli lile lilikuwa igizo tu tena kwa lengo maalum kiufupi Putin na huyo boss wa Wagner ni marafiki walioshibana sana.

Kuna mission anaenda kuianzisha akitokea Belarus na ndio maana juzi umeona viongozi wa NATO wakikutana kujadili uwepo wa jamaa huko.
Haiwezekani igizo lihusishe kuangusha ndege takriban za kijeshi na kuua marubani wake kadhaa!!
 
Huo huenda ukawa ndio mwisho wa kampuni hiyo binafsi!! Ujue Anaenda Balarus bila silaha, maana sailaha zote atakabidhi urusi!! Akiwa Belarus ni kama yuko jela ya kimkakati!! Hatakuwa na nguvu maana watu wake watakaokubali kumfuata pia hawatakuwa na silaha!! Huyo ameminywa kimya kimya!!
Mwisho wa enzi
 
Mbona unaweka hoja kiwepesi hivyo?kama kweli yupo serious unadhani mahasimu wa Russia wanashindwa kumpa hizo silaha?jiulize waasi wa Congo wanapata wapi silaha?Haya mambo hayapo kiwepesi namna hiyo mkuu
Russia sio congo
 
Back
Top Bottom