Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

Yaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
Kama wanayoitumia Ukraine?
 
We hujanimisi!bibi yangu ilikuwa ukiona kitumbua njiani ukaanza kukidai eti una kitaja alikuwa anasema hivi "wewe huna hamu na kitumbua ila umeona tu"Kwa hiyo hakununuliii...ndio wewe eti Hadi unione ndio umenimiss
Kwani nawewe uliwahi kuishi kijijini au uswazi?
 
Mbona unaweka hoja kiwepesi hivyo?kama kweli yupo serious unadhani mahasimu wa Russia wanashindwa kumpa hizo silaha?jiulize waasi wa Congo wanapata wapi silaha?Haya mambo hayapo kiwepesi namna hiyo mkuu
Unadhani watu wameenda kumtelekeza tu huko? Kiufupi anaangaliwa mpaka anavyo kata gogo
 
Yap! Hili ni bomu hambalo litamlipukia Putin wakati wowote,
Na sijui ni Kwa nini ameshindwa kumueliminate kabisa

Huyu ameshakula nyama ya mtu, hawezi kuacha mpaka mauti yatakapomfika

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usiombe kuwa chini ya uangalizi wa asset zote za intelligence za nchi.. Unaishi life la ajabu sana, unaweza hata kuogopa kukohoa
 
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!

On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.

Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!
Ha ha ha mda so mrefu utamkuta yupo front na wanajesh wake wakipambana na Russia..chezea dollar za u.s
 
Yaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
Prigo ni hatari zaidi kwa NATO kuliko alivyo hatari kwa Putin. Prigo anakwenda kuwatandika Ukraine kama ngoma akitokea Belarus
 
Yaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
There is nothing left to divide.
 
Mkuu,huyu Prigo ataishi maisha ya wasiwasi tu,FSB wanam monitor kila movement yake kwasasa hivi,

Kifupi this guy is finished.
Prigo anawacheck tu mlivyoingia king kwenye game aliyocheza na Putin, soon utasikia milio huko upande wa NATO wakilalamika kuhusu Prigo.
 
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!

On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.

Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!
[emoji1787][emoji1787]

Usaliti mbaya....

Usaliti ni DHAMBI...

KATAA USALITI[emoji120]
 
Kwa akili NDOGO za wasaliti matokeo huwa hayo....

Prigozhn hana tofauti na HEMETI DAGALO wa Sudan na wale wanamgambo wake......[emoji1787][emoji1787]

#Kataa Usaliti Kwa Dola lako[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom