lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kama wanayoitumia Ukraine?Yaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
Ulishawahi kusikia uasi wa Jimbo la Chechen ndani ya Urusi?Mimi sijaongelea kumtoa Putin,nimeongelea Civil war....haijalishi Putin atatoka au hatoki ila nchi itaangia kwenye mapigano ya wao Kwa wao.
Kwani nawewe uliwahi kuishi kijijini au uswazi?We hujanimisi!bibi yangu ilikuwa ukiona kitumbua njiani ukaanza kukidai eti una kitaja alikuwa anasema hivi "wewe huna hamu na kitumbua ila umeona tu"Kwa hiyo hakununuliii...ndio wewe eti Hadi unione ndio umenimiss
Kuliko nyie wapenzi wa Zelensky?Nyie wapenzi wa Putin mna vichwa vigumu.
Unadhani watu wameenda kumtelekeza tu huko? Kiufupi anaangaliwa mpaka anavyo kata gogoMbona unaweka hoja kiwepesi hivyo?kama kweli yupo serious unadhani mahasimu wa Russia wanashindwa kumpa hizo silaha?jiulize waasi wa Congo wanapata wapi silaha?Haya mambo hayapo kiwepesi namna hiyo mkuu
Lini umeanza kua mtabiri wakujua watu wanaishi wapi? Ni Saudia peke yake Dunia nzima ndio wao tu walikua na Eid jana?Mliswali Jana au sio,wasalimie Saudia
Safi umemjibu vzrRussia sio congo
Usiombe kuwa chini ya uangalizi wa asset zote za intelligence za nchi.. Unaishi life la ajabu sana, unaweza hata kuogopa kukohoaYap! Hili ni bomu hambalo litamlipukia Putin wakati wowote,
Na sijui ni Kwa nini ameshindwa kumueliminate kabisa
Huyu ameshakula nyama ya mtu, hawezi kuacha mpaka mauti yatakapomfika
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Basi wasalimie AbudhabLini umeanza kua mtabiri wakujua watu wanaishi wapi? Ni Saudia peke yake Dunia nzima ndio wao tu walikua na Eid jana?
🤣🤣🤣🤣🤣Na yeye unadhani ni mjinga hajui kama anaangaliwa?Unadhani watu wameenda kumtelekeza tu huko? Kiufupi anaangaliwa mpaka anavyo kata gogo
Ha ha ha mda so mrefu utamkuta yupo front na wanajesh wake wakipambana na Russia..chezea dollar za u.sFikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!
On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.
Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!
Prigo ni hatari zaidi kwa NATO kuliko alivyo hatari kwa Putin. Prigo anakwenda kuwatandika Ukraine kama ngoma akitokea BelarusYaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
There is nothing left to divide.Yaani Hilo ni tatizo jipya Kwa Russia,mahasimu wake watamtumia huyo jamaa kumpa nguvu apambane na nchi,,,,imagine NATO na USA wakiamua kutumia Ile mbinu ya "Divide and rule"Kuna Nini tena hapo?
Prigo anawacheck tu mlivyoingia king kwenye game aliyocheza na Putin, soon utasikia milio huko upande wa NATO wakilalamika kuhusu Prigo.Mkuu,huyu Prigo ataishi maisha ya wasiwasi tu,FSB wanam monitor kila movement yake kwasasa hivi,
Kifupi this guy is finished.
Shitholes za Afrika zimepeleka silaha zipi Ukraine ?Huyo Ukraine ambayo ni nchi kamili,amepewa silaha na Dunia nzima,so far amefanya nini? Prigo atakua monitored 24/7
[emoji1787][emoji1787]Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri yake!!
On Tuesday, Russian President Vladimir Putin revealed that the Wagner Group was totally dependent on state financing, while Prigozhin himself had earned billions of rubles through catering contracts with the military.
Umepewa tenda ya kulisha jeshi lote na bado kampuni yako ya jeshi binafsi (Wagner) inagharimiwa kila kitu na unalipwa mabilioni pia, unataka nini zaidi ya hicho! Sasa amekabidhiwa mahame ya kambi moja ya kijeshi huko Balarus!! aweke mahema huko huku akiambiwa afikirie mwenyewe hatima yake na mipango yake ya baadaye!! Tamaa mbele mauti nyuma!!
[emoji1787]Lini umeanza kua mtabiri wakujua watu wanaishi wapi? Ni Saudia peke yake Dunia nzima ndio wao tu walikua na Eid jana?
[emoji1787][emoji1787]Ulishawahi kusikia uasi wa Jimbo la Chechen ndani ya Urusi?
Waulize wadau humu,Putin aliwafanya Nini?
[emoji1787][emoji1787]Mkuu,kwenye mazungumzo ya vita unataka kula kimasihara tena?
😀 😀