Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujikumbushe.
1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP
2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi
3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP
4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete
5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP
Maendeleo hayana vyama!
Kazi ya Mungu haina makosa!Kila awamu naikubali, kwani kila rais anakuwa na nia njema kwa wale anaowaongoza. Wakatoliki watatu wameshatangulia mbele za haki, waislamu wawili wanakula maisha uzeeni, samahani lakini nje ya mada nimechomekea tu.
Mkuu maisha haya ni safari ndefu ila ya jiwe tuyaache maana hawezi kujitetea ila Kuna mengi mno na CM&Ed yake,12wanaume/12 wanawake, ogopa PC, PG, PM yooooo mkwawa looo chuo kilitoa no 1 wa nchi mmmmUmenikumbusha mkwawa ,na makanyagio Kuna jamaa ananisimulia miaka Ile MAREHEMU JIWE akikosa Hela ya kunywea ulanzi anaemda kushinda pale kwenye studio ya kuuza Kanda ya MAREHEMU Ali Mbata
Sawa mkuu,na Ile programu ya Mkwawa ililiikoa taifa kutumia fedha za kigeni kulipa walimu ma TX katika sayansiMkuu maisha haya ni safari ndefu ila ya jiwe tuyaache maana hawezi kujitetea ila Kuna mengi mno na CM&Ed yake,12wanaume/12 wanawake, ogopa PC, PG, PM yooooo mkwawa looo chuo kilitoa no 1 wa nchi mmmm
The Highlands ilitisha bwasheeMuunguja Bado yupo NMB mkwawa branch,na wote hao uliowataja ni vichwa kwelikweli, hata saa hii ukikutana nao ,shule ya highland sio mchezo enzi hizo hata mugabe Wa Zimbabwe alimruhusu yule headmaster sheki akafungue shule Zimbabwe baada ya kubonyezwa na mashushu wa zanu pf,SI uliokuwa unaona vijana wa kiasia tuliosoma nao wakirudi kwao wanaendesha makampuni makubwa bila hata ya KWENDA chuo Cha cbe nk mfano watoto wa asas ivory yule Mzee muuza njegere pale sabasaba,naipenda Awamu hiyo namkumbuka BEEF SAUSAGE aliyekuwa anatuuzia mapera ya pilipili pale getini yule bwana aliletwa na Nyerere mwaka 1976 alimtoa Kilimanjaro hotel kama Chef aje iringa kuanzisha viwanda vidogividogo vya sausage lakini nae akakumbana na zahama za 4/2/1977 akajibunia kuuza mapera ya pilipili pale highland
We acha tu,kina chaudry ni maTx ambayo Mimi niliamini wametumwa na waziri mkuu wa India Mahatma Gandi,kweli walijitahidi sana kutengeneza vijana kuendesha sekta ya fedhaThe Highlands ilitisha bwashee
1. Sheikh........TX
2. Abdi..........TX
3. Mrs Venogopa
4. Farid
5. Mr Hushan....nk....nk....bila kumsahau Chaudry!
Ni kweli kabisa mkuu maana kile chuo Kilitoa waalimu Safi mno, principal Mshana kudos kwake!na pamoja na kutoa no 1 wa nchi pia chuo Kilitoa mbunge (mh.Mwaduma),na VP(Mh.Majili)alienda kuwa CCM chairman wa handeniSawa mkuu,na Ile programu ya Mkwawa ililiikoa taifa kutumia fedha za kigeni kulipa walimu ma TX katika sayansi
Maisha gani yaliboreka awamu ya tatu...au kwenu tu!!!?..hukumbuki awamu ya ukapa,mshahara 80,000 anamaliza mshahara 120000,mkwere kuingia tu akaongeza mshahara 80%...na nyongeza ya kila mwaka,mpaka mshahara ukafika 1.5m Hadi kwa walimuAwamu ya 3 ndiyo ilikuwa na mabadiliko + kwa wananchi. Japo nilikuwa bado mwanafunzi lakini nakumbuka kuona maisha ya watu yakiboreka sana
Rushwa umeanza awamu ya tatu,yaani watu waliwaza kupiga tu,shirika la umma/uwanja wa ndege muwekezaji anawekeza kwa Thamani ya beberu 11!!Awam ya nne sitaki hata kuisikia, ni awam ambayo ufisadi ulitamalaki, kila sehem ilikuwa no money no service! Kipindi cha mzee wa msoga kilifedhehesha sana nchi yetu
Yaani CCM ilikuwa iwachukuwe hao kwa gharama zozote wawe ndio mathink tank wao tungekuwa mbali sana kama nchi,lakini leo Lumumba limekuwa jumba la fitna tuNi kweli kabisa mkuu maana kile chuo Kilitoa waalimu Safi mno, principal Mshana kudos kwake!na pamoja na kutoa no 1 wa nchi pia chuo Kilitoa mbunge (mh.Mwaduma),na VP(Mh.Majili)alienda kuwa CCM chairman wa handeni
Nilianza kujitegemea Awamu ya kwanza ya Baba wa Taifa, JKT ya mwaka mmoja nimekwenda immediately baada ya Vita vya Uganda. Ni retired officer kwa sasa.Ulianza kujitegemea awamu ya ngapi bwashee?
Sahivi umeambiwa Moshi viberiti ni shida?Awamu ya kwanza hapo Moshi mlikuwa na Kiwanda cha viberiti kwa ajili ya Tanzania nzima!
Mkapa alifanya mambo makubwa sn kupita kiasiAwamu ya pili ndio msingi wa maendeleo ya leo
1) vision 2025 andiko lake lilianza 1994
2) Soko huria liliasisiwa 1992
3) Structural Adjustment Program (SAP) ni kazi ya Mzee Mwinyi kuachana na mfumo mfu wa ujamaa
4) fursa ya kurudishwa vyama vingi vya siasa na mabadiliko mengi ya kiuchumi yalikuwa wakati wa Mwinyi
5) Mchakato wa kupunguza wafanyakazi ili uwiano wa wafanyakazi na kazi wafanyazo ulingane na waliopo waweze kuboreshewa maslahi uliasisiwa 1993-95
6) Uhuru wa kujieleza na kukosoa ukatamalaki
7) Mapambano dhidi ya rushwa hadi kufikia kufukuza baraza lote la mawaziri kwa kuthiri kwa rushwa hapo Jan 1990
8)kuanzisha mchakato wa kuachana na Idara ya kodi na kuanzisha Mamlaka ya kodi ulianza wakati wa Mwinyi na kuzinduliwa 1996 muda mchache baada ya Mkapa kuwa Rais
9) kulizika Azimio la kishamba la Arusha
10) Uchumi kuchangamka na Raia kuanza kujenga na kufunguka sana kwa shughuli binafsi
Baraka ya mchongo hatuitakiJoto ni baraka!
Awamu ya Nne ya Dr. JK.Tujikumbushe.
1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP
2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi
3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP
4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete
5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna awamu ilitamalaki kwa ufisadi kama kipindi cha Magu.Awam ya nne sitaki hata kuisikia, ni awam ambayo ufisadi ulitamalaki, kila sehem ilikuwa no money no service! Kipindi cha mzee wa msoga kilifedhehesha sana nchi yetu
Namkumbuka Chaudry (RIP) ndo alianzisha uvaaji wa pajama mpaka leo ndo uniform ya wasichanaWe acha tu,kina chaudry ni maTx ambayo Mimi niliamini wametumwa na waziri mkuu wa India Mahatma Gandi,kweli walijitahidi sana kutengeneza vijana kuendesha sekta ya fedha