Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

Awam ya nne sitaki hata kuisikia, ni awam ambayo ufisadi ulitamalaki, kila sehem ilikuwa no money no service! Kipindi cha mzee wa msoga kilifedhehesha sana nchi yetu
 
Awamu iliyokuwepo kabla ya wote hao
Tujikumbushe.

1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP

2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi

3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP

4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete

5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP

Maendeleo hayana vyama!
 
Umenikumbusha mkwawa ,na makanyagio Kuna jamaa ananisimulia miaka Ile MAREHEMU JIWE akikosa Hela ya kunywea ulanzi anaemda kushinda pale kwenye studio ya kuuza Kanda ya MAREHEMU Ali Mbata
Mkuu maisha haya ni safari ndefu ila ya jiwe tuyaache maana hawezi kujitetea ila Kuna mengi mno na CM&Ed yake,12wanaume/12 wanawake, ogopa PC, PG, PM yooooo mkwawa looo chuo kilitoa no 1 wa nchi mmmm
 
Mkuu maisha haya ni safari ndefu ila ya jiwe tuyaache maana hawezi kujitetea ila Kuna mengi mno na CM&Ed yake,12wanaume/12 wanawake, ogopa PC, PG, PM yooooo mkwawa looo chuo kilitoa no 1 wa nchi mmmm
Sawa mkuu,na Ile programu ya Mkwawa ililiikoa taifa kutumia fedha za kigeni kulipa walimu ma TX katika sayansi
 
Muunguja Bado yupo NMB mkwawa branch,na wote hao uliowataja ni vichwa kwelikweli, hata saa hii ukikutana nao ,shule ya highland sio mchezo enzi hizo hata mugabe Wa Zimbabwe alimruhusu yule headmaster sheki akafungue shule Zimbabwe baada ya kubonyezwa na mashushu wa zanu pf,SI uliokuwa unaona vijana wa kiasia tuliosoma nao wakirudi kwao wanaendesha makampuni makubwa bila hata ya KWENDA chuo Cha cbe nk mfano watoto wa asas ivory yule Mzee muuza njegere pale sabasaba,naipenda Awamu hiyo namkumbuka BEEF SAUSAGE aliyekuwa anatuuzia mapera ya pilipili pale getini yule bwana aliletwa na Nyerere mwaka 1976 alimtoa Kilimanjaro hotel kama Chef aje iringa kuanzisha viwanda vidogividogo vya sausage lakini nae akakumbana na zahama za 4/2/1977 akajibunia kuuza mapera ya pilipili pale highland
The Highlands ilitisha bwashee
1. Sheikh........TX

2. Abdi..........TX

3. Mrs Venogopa

4. Farid

5. Mr Hushan....nk....nk....bila kumsahau Chaudry!
 
The Highlands ilitisha bwashee
1. Sheikh........TX

2. Abdi..........TX

3. Mrs Venogopa

4. Farid

5. Mr Hushan....nk....nk....bila kumsahau Chaudry!
We acha tu,kina chaudry ni maTx ambayo Mimi niliamini wametumwa na waziri mkuu wa India Mahatma Gandi,kweli walijitahidi sana kutengeneza vijana kuendesha sekta ya fedha
 
Sawa mkuu,na Ile programu ya Mkwawa ililiikoa taifa kutumia fedha za kigeni kulipa walimu ma TX katika sayansi
Ni kweli kabisa mkuu maana kile chuo Kilitoa waalimu Safi mno, principal Mshana kudos kwake!na pamoja na kutoa no 1 wa nchi pia chuo Kilitoa mbunge (mh.Mwaduma),na VP(Mh.Majili)alienda kuwa CCM chairman wa handeni
 
Awamu ya 3 ndiyo ilikuwa na mabadiliko + kwa wananchi. Japo nilikuwa bado mwanafunzi lakini nakumbuka kuona maisha ya watu yakiboreka sana
Maisha gani yaliboreka awamu ya tatu...au kwenu tu!!!?..hukumbuki awamu ya ukapa,mshahara 80,000 anamaliza mshahara 120000,mkwere kuingia tu akaongeza mshahara 80%...na nyongeza ya kila mwaka,mpaka mshahara ukafika 1.5m Hadi kwa walimu
 
Awam ya nne sitaki hata kuisikia, ni awam ambayo ufisadi ulitamalaki, kila sehem ilikuwa no money no service! Kipindi cha mzee wa msoga kilifedhehesha sana nchi yetu
Rushwa umeanza awamu ya tatu,yaani watu waliwaza kupiga tu,shirika la umma/uwanja wa ndege muwekezaji anawekeza kwa Thamani ya beberu 11!!
 
Ni kweli kabisa mkuu maana kile chuo Kilitoa waalimu Safi mno, principal Mshana kudos kwake!na pamoja na kutoa no 1 wa nchi pia chuo Kilitoa mbunge (mh.Mwaduma),na VP(Mh.Majili)alienda kuwa CCM chairman wa handeni
Yaani CCM ilikuwa iwachukuwe hao kwa gharama zozote wawe ndio mathink tank wao tungekuwa mbali sana kama nchi,lakini leo Lumumba limekuwa jumba la fitna tu
 
Ulianza kujitegemea awamu ya ngapi bwashee?
Nilianza kujitegemea Awamu ya kwanza ya Baba wa Taifa, JKT ya mwaka mmoja nimekwenda immediately baada ya Vita vya Uganda. Ni retired officer kwa sasa.

Niko conversant na achievements za Awamu zote, siwezi kuwa bulldozed na uwongo aliowafanyia brainwashing Magufuli. Twende kazi johnthebaptist
 
Awamu ya pili ndio msingi wa maendeleo ya leo

1) vision 2025 andiko lake lilianza 1994
2) Soko huria liliasisiwa 1992
3) Structural Adjustment Program (SAP) ni kazi ya Mzee Mwinyi kuachana na mfumo mfu wa ujamaa
4) fursa ya kurudishwa vyama vingi vya siasa na mabadiliko mengi ya kiuchumi yalikuwa wakati wa Mwinyi
5) Mchakato wa kupunguza wafanyakazi ili uwiano wa wafanyakazi na kazi wafanyazo ulingane na waliopo waweze kuboreshewa maslahi uliasisiwa 1993-95
6) Uhuru wa kujieleza na kukosoa ukatamalaki
7) Mapambano dhidi ya rushwa hadi kufikia kufukuza baraza lote la mawaziri kwa kuthiri kwa rushwa hapo Jan 1990
8)kuanzisha mchakato wa kuachana na Idara ya kodi na kuanzisha Mamlaka ya kodi ulianza wakati wa Mwinyi na kuzinduliwa 1996 muda mchache baada ya Mkapa kuwa Rais
9) kulizika Azimio la kishamba la Arusha
10) Uchumi kuchangamka na Raia kuanza kujenga na kufunguka sana kwa shughuli binafsi
Mkapa alifanya mambo makubwa sn kupita kiasi
 
Tujikumbushe.

1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP

2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi

3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP

4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete

5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP

Maendeleo hayana vyama!
Awamu ya Nne ya Dr. JK.
Ni katika awamu hii nilipanda madaraja mara mbili, mwanangu aliajiriwa, Mdogo wangu aliajiriwa, Ulikuwa ndo mwanzo wa kaka yangu kuwa tajiri kabla ya kuyumba ktk awamu ya Magu.
Pia vijana wengi mtaani kwetu waliajiriwa au kujiajiri na mzunguko wa pesa ukawa mzuri.
 
Awam ya nne sitaki hata kuisikia, ni awam ambayo ufisadi ulitamalaki, kila sehem ilikuwa no money no service! Kipindi cha mzee wa msoga kilifedhehesha sana nchi yetu
Hakuna awamu ilitamalaki kwa ufisadi kama kipindi cha Magu.
Sema tu alidhibiti vyombo vyote kuanzia CAG
 
Back
Top Bottom