Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

Hao wanaonekana kuwa Wana msimamo wa kati, wenyewe kwa hiari yao wameamua kuacha mafundisho ya Quran na kuendana na mifumo iliopoa kwa maana wamegive it up

Hao ndio masheikh waokoteza aya nyepesi nyepesi wakiacha zile ngumu ili kuendana na mfumo

Kwenye jamii maovu ni mengi sana na Vita ni kubwa katika kuhakikisha maovu hayo yasitendeke na watenda maovu sio tu wa dini zingine hata wenye majina ya kiislam hutenda maovu ambayo ukiyakanya kwa kutumia mfumo wa dini utaonekanwa mwenye msimamo mkali wa kidini

Hivyo masheikh wameamua kwa hiari yao kuacha kukanya maovu yanayotendeka kwa kuacha mafundisho ya Quran Bali kutafuta zile aya nyepesi nyepesi ili kuendana na kinachofanyika

Wasunni au wahab ndio walioshika dini kisawa sawa na ukitekeleza kwa vitendo changamoto ni kuwa nchi kama Tanzania yenye jamii mchanganyiko na nchi zingine zenye mfanano huo lazima wakuite gaidi na majina mengine yasiyofaa kwakuwa mifumo ya nchi haiongozwi kidini
 
Umecopy na kupastee mzee Baba....hutaki ata kuumiza kichwa,wa bongo bhna

Hizo sifa unazosema za wahab ndo sifa za kila muislam anatakiwa awe nazo...

Nyongeza mashia sio waislam
KWa hiyo mashia ni makafiri?!
 
Ila siyo wakuwalaumu na kuwabeza. Unaona walivyosaidia kulinda dini yao. Ukristo nao ulikuwa kama wahabi ulilindwa sana sasa unaona sasa hivi wagalatia tuko legelege tu wakati sisi ndio tuko kwenye nuru na tunaifuata kweli.
Huwezi kuwa mwana dini hasa halafu ukaacha mafundisho ya dini yako na ukiyafuata ndio kukua kwa dini hiyo

Ukiona wamekuwa legelege ni kuwa wameamua kwa hiari yao kuingia kwenye mfumo kuifata dunia na harakati zake na kuacha habari za mbinguni
 
Sijaona HOJA YA MSINGI


Hakuna MADHEHEBU ya WAHHABISM ila ni jitihada alizozifanya kuwarudisha WAISLAM kwenye UISLAM wa MUHAMMAD rehema na Amani ziwe juu yake!!

Uislam wa ASILI utabaki ule aliokuja nao Muhammad rehema na Amani ziwe juu yake
 
Sijui umekopy katika kitabu na mashia kipi but ukisikia wahabi ujue kua hilo jina wamepewa na mashia na masufi but hamna mtu wa sunnah anajiita wahabi but ukiwa na msimamo wa kufuata sunna na kukemea uzushi mashia na sufi wanakuita wahabi so hiyo kitu umetoa wapi huko kuandika miaka ni mbwembwe tu
 
Muhamad aliwapotosha Waarabu kwamba yeye na Uislamu wameandikwa katika Biblia. Wakamuamini. Wafuasi wake baada yake walipomtafuta Muhamad na Uislamu katika Biblia na kumkosa, wakaja na lawama kwamba Wayahudi na Wakristo wamebadilisha maandiko. Mpaka leo waislamu wanatusumbua huku na huku kwamba tumebadilisha maandiko na ndio maana Muhamad haonekani ndani yake.

Muislamu akiisoma Biblia jua hapo anasaka makosa tu na si ujuzi. Na ndio maana mtoto wa kislamu yoyote akiisoma Biblia kwa minajiri ya kutafuta wokovu, moyo wake taratibu utahama toka kwa Muhamad hadi kwa Yesu. Na ndio maana Biblia huko Arabuni ni maarufuku, na muislamu akishikwa nayo anauawa. Dini ya kibabe.

No maridhiano
 
Kasomebible vizuri tena version ya yule shoga King james ambaye ameandika kitabu cha kishetani na alimuua mama yake uje utuambie ni bible ipi alikopy, unajua nyie jamaa mpo narrow saana alafu mnakuja kwa watu ambao wanasoma dini yao since watoto mpka wanakufa
 
Kwa taarifa yako china wanasilim saana kama hujui wachina waislam nenda pale palm village kuna mgahawa wa wachina wanapika halal chinese food
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…