Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

hiv kuna fahari gani mkiwa wengi saana kwenye dini fulani kuliko dini nyingine?
Mfumo wa dini ni mfumo wa kijamaa ambao unaweza kutekelezwa kwa urahisi kwenye jamii inayouamini mfumo huo

Kwahiyo kuwa wengi kwenye dini fulani kuna maana wote mtaufata huo mfumo bila shuruti na hiyo ndio faida yake
 
dini siku zote haitaki uwe huru inataka ujae kwenye mfumo wake
Halafu inahubiri imani Ya Mungu ambaye tunaamini ni Mmoja tu kwa maana ya imani moja tu
Sasa tunashuhudia kila dini ina Mungu wake hivi unafikiri hapo kutakuwa na maelewano kweli
Yaani ni kama CCM na chadema
Mimi nimechagua kuwa huru sina dini Mungu wangu hana dini huyu aliyeumba mbingu na nchi
ila hizi dini zimetengeneza miungu yao na ina mapungufu kama yoote
 
Wahhabi ni wafuasi wa harakati ya Wahhabism, ambayo ni mtazamo wa Uislamu wa Sunni ulioanzishwa na Muhammad ibn Abd al-Wahhab mnamo karne ya 18 katika eneo la Najd, Saudi Arabia. Harakati hii ilisisitiza kurudi kwenye Uislamu wa mwanzo, ikiwa na msimamo mkali dhidi ya kile walichokiona kama uzushi (bid'ah) na ushirikina (shirk).

Sheikh Muhammad Ibn Abdul Wahaab (Allah amrehemu), hakuanzisha Uwahabi, bali wale walio kuwa wako dhidi yake hasa washirikina, wazushi na Mashia, ndio walianzisha jina hilo.
 
dini siku zote haitaki uwe huru inataka ujae kwenye mfumo wake
Halafu inahubiri imani Ya Mungu ambaye tunaamini ni Mmoja tu kwa maana ya imani moja tu
Sasa tunashuhudia kila dini ina Mungu wake hivi unafikiri hapo kutakuwa na maelewano kweli
Yaani ni kama CCM na chadema
Mimi nimechagua kuwa huru sina dini Mungu wangu hana dini huyu aliyeumba mbingu na nchi
ila hizi dini zimetengeneza miungu yao na ina mapungufu kama yoote
Dini ndio imetoa uhuru kamili na maana yake.

Uhuru usio na mpaka ni utumwa wa kujitakia.
 
Pamoja na hayo. Waislamu duniani wanamchango gani kwenye dunia? Bidhaa 99.9%, mifumo, teknolojia, siasa na elimu tunatumia za makafiri
Kiufupi sioni mchango wa waarabu kwenye hii dunia maana hadi kanzu, baibui na nikabu vitambaa vyake vinatoka China (waabudu dragon)
Muasisi wa Scientific Methods alikuwa Muislamu. Sasa utajiuliza mchango wetu sisi uko sisi.
 
Chuki ni suala la kimaumbile, lazima watu WAJINGA na waovu wachukiwe, kama wanachukiwa na Mola aliyewaumba, iweje sisi viumbe tusiwachukie watu waovu ?

Akili iliyo salama, inakataa huo ujinga.
Hivi Mola anakuchukia wewe kwa lipi au ni hisia zako tu ndiyo zinakufanya uone anakependa au anakuchukia
 
Manhaj salafiyya haijaanzishwa na wahab, ilianzishwa na mtume muhammad s.a.w. Rejea hadith za mtume akisisitiza kufuata mafundisho yake na quran pamoja na kujitenga na uzushi.
 
Hiyo dini ya muarabu kila kitu ni fujo na mauaji, nilisoma sehemu kuwa Muhammad alimsilimisha shetani hivyo huko kwenye hiyo dini hukosi maushetani ya kila aina.
 
dini siku zote haitaki uwe huru inataka ujae kwenye mfumo wake
Halafu inahubiri imani Ya Mungu ambaye tunaamini ni Mmoja tu kwa maana ya imani moja tu
Sasa tunashuhudia kila dini ina Mungu wake hivi unafikiri hapo kutakuwa na maelewano kweli
Yaani ni kama CCM na chadema
Mimi nimechagua kuwa huru sina dini Mungu wangu hana dini huyu aliyeumba mbingu na nchi
ila hizi dini zimetengeneza miungu yao na ina mapungufu kama yoote
Sasa wewe, utaratibu wako wa maisha unaengemeza wapi? Labda nikuulize kama ni mwanaume umetahiriwa? Na kama ni ndio umepata wapi huo utaratibu? Kuna mengine mengi kama kuona, kuzikakana, majina tuliyo nayo n.k. yameegemea kwenye dini fulani. Ukisema huamini katika dini unakuwa unatudanganya.
 
Hiyo dini ya muarabu kila kitu ni fujo na mauaji, nilisoma sehemu kuwa Muhammad alimsilimisha shetani hivyo huko kwenye hiyo dini hukosi maushetani ya kila aina.
Kwenye dini ipo ndio hakuna fujo?
 
Back
Top Bottom