Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

1. Iran ni Nchi ya Tatu Duniani Nyuma ya Urusi na Usa kwenye Kutoa ma Injinia Duniani, Ma Injinia wake wanajulikana Dunia nzima mpaka Nchi kama Usa wanaaminiwa kuongoza project kubwa, mfano Project ya Mars. Drone zao zimechachafya vita ya Ukraine huko, wao ndo wamefanya leo ukifanyiwa Upasuaji wa Kichwa possibility ya kufa ni ndogo etc ipo top 20 kwenye nchi zenye Mchango mkubwa wa kisayansi Duniani, wanashika hadi nafasi ya 15

2. Saudi Arabia hasa Chuo chake cha mafuta ni Chuo cha pili kwa ubora wa mafuta duniani, wamegundua mambo mengi na mwaka 2023 ime rank chuo cha 3 Duniani kupewa Patents Usa.


Hao Saudi Arabia wana wanasayansi wao wengine kama Hayat Sindi Mgunduzi wa Mobile laboratory Zisizo tumia umeme, leo hii Unaenda pharmacy kununua Vikaratasi vya kupima mimba, Ukimwi, Hormony etc unajipima mwenyewe nyumbani huyu dada Ana mchango mkubwa kwenye Hio sector.

Saudi wapo top 30 ya Nchi zenye Output kubwa za Kisayansi

3. Uturuki tunaijua, Leo hii tunaona kina Antonio Conte wanaenda Uturuki kufanyiwa Upasuaji wa kuondoa Kipara, Tumeona Pfitzer Chanjo ya COVID ikitumia Technology ya Waturuki, Silaha zao zimefanya Vizuri Ukraine etc nayo ipo top 20 ya Nchi zenye Output kubwa Kisayansi.

Katika Nchi 30 ambazo zinaongoza publication za Kisayansi Duniani kuna Nchi 7 za kiisilamu Iran, Saudi, Uturuki, Indonesia, Malyasia, Egpty na Pakistan.

So sio kweli kwamba 99.9% ya invention hazitoki kwa waisilamu.
Shia ni waislam au sio waislam ?
 
Shia ni waislam au sio waislam ?
Shia wapo wengi na imani tofauti tofauti ila in general ni waisilamu.

Kuna vitu kwenye uisilamu ukifanya hata kama unakosea haikutoi kwenye uisilamu na kuna vitu ukifanya unatoka kwenye uisilamu.

Mfano, kuna Shia wa naamini Ali alikua ni superior kwa masahaba wengine, Alitakiwa awe Khalifa wa kwanza etc. Kwa mainstream uisilamu hili ni kosa ila sio kosa linalokutoa kwenye uisilamu.

Kuna Shia wa naamini viongozi wao ni Mitume (Ahmadiya) ama waliopinga waumini wao wasi swali (Nizar Ismailia) etc haya ni makosa ambayo Directly yanapingana na Nguzo za uisilamu, Ili uwe muisilamu lazima uamini Kwenye Swala na Shahada.

Shia wengi ambao ni 3xtreme kama hivyo ni makundi yaliyoanzishwa na kuwa sponsored na Uingereza, wengi lengo lao ni kupiga pesa zaidi kuliko Imani na hata Huko Iran kwenyewe huwakuti.
 
Yani Saudia imeleta shida duniani na wahabi yake ila sasa hivi wao hawafuati Wala hawataki sikia mambo hayo
 
China waislam ni kama kutafuta waislam kwa wamasai.

Waarabu walipewa mafuta ila hawakuyatambua mpaka wazungu walipokuja kuyachimba na kuweka teknolojia zao..mwaarabu anakula mlahaba na kodi tu,ila mmiliki wa mafuta ni mzungu ndio mana huwezi nunua mafuta bila USD
hujatembea wewe nani kakuambia hakuna wamasai waislam wengi? nenda pale Makuyuni mbele kidogo
 
Kumbe anayewaita wenzie kafr naye anaitwa kafr?
Hao jamaa wanaitana majina mabaya sana

Na ni dhehebu moja

Hebu ona hapa 👇 👇 ni dhehebu moja ila itikadi tofauti wanafurahia kifo cha mwenzao kuwa alikuwa kafiri

Gii2q6hWcAA-UzF.jpeg
 
Back
Top Bottom