Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

Hao wanaonekana kuwa Wana msimamo wa kati, wenyewe kwa hiari yao wameamua kuacha mafundisho ya Quran na kuendana na mifumo iliopoa kwa maana wamegive it up

Hao ndio masheikh waokoteza aya nyepesi nyepesi wakiacha zile ngumu ili kuendana na mfumo

Kwenye jamii maovu ni mengi sana na Vita ni kubwa katika kuhakikisha maovu hayo yasitendeke na watenda maovu sio tu wa dini zingine hata wenye majina ya kiislam hutenda maovu ambayo ukiyakanya kwa kutumia mfumo wa dini utaonekanwa mwenye msimamo mkali wa kidini

Hivyo masheikh wameamua kwa hiari yao kuacha kukanya maovu yanayotendeka kwa kuacha mafundisho ya Quran Bali kutafuta zile aya nyepesi nyepesi ili kuendana na kinachofanyika

Wasunni au wahab ndio walioshika dini kisawa sawa na ukitekeleza kwa vitendo changamoto ni kuwa nchi kama Tanzania yenye jamii mchanganyiko na nchi zingine zenye mfanano huo lazima wakuite gaidi na majina mengine yasiyofaa kwakuwa mifumo ya nchi haiongozwi kidini
Mwisho umejibu mwenyewe.
 
Mwisho umejibu mwenyewe.
Yes najaribu kuwaambia hao wanaopigana Vita ya maneno humu washushe silaha zao chini dini zote duniani hazitekelezeki katika jamii mchanganyiko yenye Imani tofauti bali hutekelezeka kwenye jamii yenye waumini wa dini hiyo peke ake otherwise vita hazitaisha

Leo hii watu wanaitwa magaidi, sijui wasunni, wahab na majina kibao kisa tu wametofautiana kimtazamo au mapokeo ya dini fulani, laiti wangekuwa wenyewe tu katika nchi au eneo fulani la kiutawala hayo yasingekuwepo
 
Ukiristu hautekelezeki kwenye jamii yenye dini tofauti na hiyo wakiristo hawapendi kusikia neno ALLAH, hapendi kusikia Muhammadi, hapendi kusikia Adhana, hapendi kusikia kisomo cha Qur'an, hawapendi kuona mtu kavaa kanzu, msuli, kafuga ndevu kama za Osama na matendo mengine ya waislam

Waislamu nao hivyo hivyo hawapendi kusikia eti yesu ni Mungu, kwaya za kumsifu yesu, kuona misalaba, kukemea mapepo na matendo mengine ya wakiristo

Hivyo basi jamiii hizi mbili haziwezi ishi sehemu moja abadani tofauti na hapo ni vita
 
Nitajie Sehemu nyingine ambapo wasunni na hao washia wanauana tofauti na uarabuni huko
Huku si mnaogopa serikali tu, iliruhisiwa iwe nchi ya dini ,Sharia law ,mtachinjana kweupe pee,

Kwasasa chuki kati ya mshia na msunni ni wazi mkipewa Sharia law ,serikali ya kidini ,mtauana
 
Magalatia nyie ni wehu matendo ya waarabu baadhi na ujinga wao ndio mnayaunganisha na dini yetu pendwa, tuko 2billioni hao waarabu na fujo zao hawazidi milioni 300. Iweje wawe kioo cha watu 1.8b? hapo either nyie wagalatia mmechizi au ujinga tu uliowajaa na kushadadia msoyajua na kujivika ujuaji
Hao ndio wenye dini ,ndio maana inakupasa uende kutambika makka na Madina ,uislamu ulipoanzia

Kitabu chenu na ibada zinaendeshwa kiarabu

Hiyo ni dini ya waarabu

Quran 5: 48. Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Quran 36: 5. Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. 6. Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye kughafilika.

Hizi aya zimekamilka na kueleza kiuwazi kuhusu kuja kwake kwa Waarabu pekee. Allah katika Koran anasema kwamba kila watu wamekuwa na Mtume wao wenyewe ambao aliwaonya katika lugha zao wenyewe, na kwamba amemtuma Muhammad kwa wale ambao bado hawajaanza mwongozo wowote, na ambao baba zao hawakuonywa, yaani Waarabu. Kwa njia hii watakuwa hawana udhuru wowote na hawezi kusema, lakini hatukuwai kupokea ujumbe wowote.

Endelea kusoma Koran hapa chini:
Quran 6: 156. Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma.

157. Au mkasema: Lau kuwa tumeteremshiwa sisi Kitabu tungeli kuwa waongofu zaidi kuliko wao. Basi imekufikieni bayana kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu, na rehema. Basi nani aliye dhaalimu mkubwa zaidi kuliko yule anaye kanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, na akajitenga nazo? Tutawalipa wanao jitenga na Ishara zetu adhabu kali kabisa kwa sababu ya kujitenga kwao.

Quran ni wazi ilitumwa kwa Waarabu. Wale ambao si Waarabu hawawezi kuielewa Koran, hayo ni maneno ya Allah. Waislamu wanasisitiza kuwa hakuna tafsiri ya Qur'ani inaweza kuwa sahihi. Hivyo, haiwezi kamwe kuwa wazi kwa mashirika yasiyo ya Waarabu na haikutumwa kwa mashirika/ummah yasiyo ya Waarabu.

Uthibitisho mwingine kuwa Qur'ani ilitumwa tu kwa ajili ya Waarabu ni katika mistari ifuatayo hapo chini:

Quran 26: 198. Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa Waarabu, 199. Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini.

Kama ambavyo Waarabu wana haki ya kuto amini kitabu chechote kile kilichotumwa kwa lugha ambayo si yakwao, ikimaanisha Kiarabu, vivyo hivyo, mashirika yasiyo ya Waarabu nao wana haki ya kuto iamini Koran, kitabu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu. Ndio kwasababu Koran inasema Allah atatuma mjumbe kwa kila lugha ili wao wenyewe kwa wenyewe waweze kuelewa.

Kuhakikisha hakuta kuwa na kutokuelewana, Allah anashusha hii aya 05:19 Quran: Enyi Watu wa Kitabu! Bila ya shaka amekujilieni Mtume wetu akikubainishieni katika wakati usio kuwa na Mitume, msije mkasema: Hakufika kwetu mbashiri wala mwonyaji. Basi amekujieni mbashiri na mwonyaji. Na Mwenyezi Mungu anao uweza wa kila kitu.

Kwa mujibu wa Qur'an watu wote wamepokea ufunuo. Aya ya hapo juu inasema Qur'ani ni kwa wale ambao kamwe hawakupokea ufunuo, iliwasije kusema, `kuwa sisi hatuja wai kutumiwa mbashiri na hakuna mjuonyaji aliye tumwa kwetu'.

Jambo hili ni wazi, lakini Allah anataka liwe wazi hata na kwa asiye na ufahamu wowote ule aelewe kuwa Koran ilitumwa kwa Waarabu pekee kwa kuzitaja sehemu halisi za kijiografia ambazo Muhammad alitumwa kama Mtume wa Allah.

Quran 6:92. Na hiki ni Kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa, chenye kuhakikisha yaliyo tangulia, na ili uuwonye Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na wenye kuamini Akhera wanakiamini hichi, nao wanazihifadhi Sala zao.

Leo, tumejifunza kuwa, Koran ilitumwa kwa Waarabu pekee na si kwa Mataifa yote. Sasa, nina uhakika baadhi ya Waislamu wanaweza kuleta aya nyingine zinazosema kwamba Uislamu ni kwa wanadamu wote. Kama Waislam watafanya hivyo, basi waelekuwa kwa kufanya hivyo ni kuthibitisha kwamba aya hapo juu ni za uongo.

Ama Quran ni pakiti ya uongo na utata au ni tu kwa Waarabu wa Makkah na jirani yake kama alivyo sema Allah ambaye ni mungu wa Waislamu.

AMKA MTU MWEUSI AMKAAAAAA🗣️🗣️🗣️🗣️
 
Huu uchambuzi wa kikafiri khaa!
 
Ndio maana nikasema mimi hakuna mgalatia yeyote anaeweza kunifundisha Uislam wewe hujui lolote umeritadi ukiwa hujasoma na hujui uislam ni nini hii dini alitumwa mwarabu lakini haikuwa kwaajili ya waarabu tu, ndio maana nikakupa takwimu huo 1.8b hakuna mwarabu humo

Quran
34:28 Na hatukukutuma ila kwa watu wote, ili uwe mbashiri na muonyaji lakini watu wengi wahajui.

Zipo aya nyingi mno zinazoonya watu katika quran na aya zinamatabaka matatu katika uonyaji

1. Ya ayuhanabiyyu- hapa anaonywa/elekezwa mtume
2. Ya ayuhanadhina aamanun,- hawa ni walio amini katka level ya juu kabisa
3. Yaa ayuhannas.- apa wanaonywa watu wote kwahio mizani ya Quran inaonya kila kundi na makafiri na majini nao huonywa vile vile
 
Huku si mnaogopa serikali tu, iliruhisiwa iwe nchi ya dini ,Sharia law ,mtachinjana kweupe pee,

Kwasasa chuki kati ya mshia na msunni ni wazi mkipewa Sharia law ,serikali ya kidini ,mtauana
Kwanza kwa muislam anayejitambua hakuna sunni wala shia wala upuuzi mwingineo huo mgawanyiko ni watu na maslahi yao ambao hawana shule kama wewe murtadi ndio unaleta hizo ngojera mtume hakuwa Sunni wala shia wala aina yoyote ile version mpya iliyokuja siku hizi
 
Hiyo dini ya muarabu kila kitu ni fujo na mauaji, nilisoma sehemu kuwa Muhammad alimsilimisha shetani hivyo huko kwenye hiyo dini hukosi maushetani ya kila aina.
Umeandika kitu Cha ajabu, embu tuletee hio reference mwanangu
 
Waarabu (waislamu) hawana akili ya kuchimba mafuta. Hilo unalijua, wangekuwa wana akili leo hii duniani kungekuwa na hata na social media zimetengenezwa na waislamu (waarabu). Hivyo viwanda unavyosema, waislamu (waarabu) hawana akili ya kutengeneza mitambo ya kutengeneza nguo😁😁😁😁
China kuna waislamu (idadi ndogo) kwahiyo hawana akili ya kutengeneza bidhaa zenye akili.
Waarabu (waislamu) wanaakili
1. Kutumia sharia
2. Kutengeneza tende
3. Kusoma Quran na kuitunza
4. Kukuita wewe kafiri hata kukua kutetea dini ya kiislamu
5. Kufundisha elimu ya madrasa
6. Kuchimba kisima cha kujitawazia
7. Kutengeneza mkojo wa ngamia
8. Kuhiji Macca
9. Kuamka saa 9 kula daku
Ukitaka kujua kuwa waislamu (waarabu) hawana akili, hapo ulipo usitumie bidhaa au vitu vilivyotengenezwa kwenye nchi za makafiri. Tuone utabakiwa na nini tena ikiwezekana vitupe anza sasa hivi😀😀😀😀
Kaa chini polepole ujifunze tofauti ya waarabu na waislamu. Ukimaliza ujifunze nchi za kiarabu na maendeleo yake, ukimaliza utilize akili ujifunze kuwa na utulivu akilini haswa katika kupambanua mambo.
 
Kwanza kwa muislam anayejitambua hakuna sunni wala shia wala upuuzi mwingineo huo mgawanyiko ni watu na maslahi yao ambao hawana shule kama wewe murtadi ndio unaleta hizo ngojera mtume hakuwa Sunni wala shia wala aina yoyote ile version mpya iliyokuja siku hizi
Wewe ni maamuma bado
 
Ndio maana nikasema mimi hakuna mgalatia yeyote anaeweza kunifundisha Uislam wewe hujui lolote umeritadi ukiwa hujasoma na hujui uislam ni nini hii dini alitumwa mwarabu lakini haikuwa kwaajili ya waarabu tu, ndio maana nikakupa takwimu huo 1.8b hakuna mwarabu humo

Quran
34:28 Na hatukukutuma ila kwa watu wote, ili uwe mbashiri na muonyaji lakini watu wengi wahajui.

Zipo aya nyingi mno zinazoonya watu katika quran na aya zinamatabaka matatu katika uonyaji

1. Ya ayuhanabiyyu- hapa anaonywa/elekezwa mtume
2. Ya ayuhanadhina aamanun,- hawa ni walio amini katka level ya juu kabisa
3. Yaa ayuhannas.- apa wanaonywa watu wote kwahio mizani ya Quran inaonya kila kundi na makafiri na majini nao huonywa vile vile
Uislamu uliokuja juzi huu, ambao hauna misingi thabiti, uislamu huu unaojibebisha kwa UYAHUDI ili UPATE popularity,ndio unataka watu wausome wapi?

Uislamu hata kwa kiganja haujai
 
Kwanza kwa muislam anayejitambua hakuna sunni wala shia wala upuuzi mwingineo huo mgawanyiko ni watu na maslahi yao ambao hawana shule kama wewe murtadi ndio unaleta hizo ngojera mtume hakuwa Sunni wala shia wala aina yoyote ile version mpya iliyokuja siku hizi
Nakuona Mzee wa itikadi kali
FB_IMG_1741793416719.jpg
 
Kaa chini polepole ujifunze tofauti ya waarabu na waislamu. Ukimaliza ujifunze nchi za kiarabu na maendeleo yake, ukimaliza utilize akili ujifunze kuwa na utulivu akilini haswa katika kupambanua mambo.
Waarabu na waislamu hawana akili ya kutengeneza bidhaa au vitu. Hao mnaowaita makafiri leo hii wakisema msitumie vitu au bidhaa zao mtahangaika sana. Hapa Tanzania, sehemu ambayo amekaa waarabu na waislamu wapo wengi hakuna maendeleo. Mfano Lindi, Tanga, Singida, Shinyanga mjini, Morogoro, Zanzibar, Mtwara na Kondoa
Kwa mfano, hii jamii forum imetengenezwa na kafiri pamoja na hiyo simu unayotumia. Sasa acha kutumia uone kwenye dini yenu mlivyokuwa hamna akili ya kutengeneza vitu au bidhaa.
 
Let's get out bro hamna anaongea kinachoeleweka humu unapoteza nguvu bure kujadili na mtu mwenye chuki, asiyejua chochote kuhusu hii dini yaani miminikichalenge mtu the way anajibu najua humu penyewe au debe tupu naondoka zangu kimya sirudi tena kupoteza muda
 
Shida ni dhehebu linalofata 100% Quran na Hadith

Sheikh, kwa heshima na taadhima fuatilia maneno yangu.

Kutoka kwako uliandika sunni hawezi kuwa sufi.

Nikatoa ushahidi kuwa babu zangu ni sunni na vile vile ni masufi.

Ndipo nikakuuliza kwani usufi ni nini?

Suala si ushia, suala ni baina ya usufi na usunni!

Na by the way, mimi ni sunni.

Na lengo la kukuuliza hivi ni kwa sababu nataka kufananisha baina ya kwao nilichojifunza kuhusiana na usufi baada ya kuwauliza na uthibitisho waliyonifahamisha nilinganishe na ushahidi wako kwa hayo ambayo uliyoyazungumza baina ya usufi na usunni.

Karibu.

Acha kupata tabu kwani mtume صل الله عليه وسلم alikuwa thehebu gani?
 
Pamoja na hayo. Waislamu duniani wanamchango gani kwenye dunia? Bidhaa 99.9%, mifumo, teknolojia, siasa na elimu tunatumia za makafiri
Kiufupi sioni mchango wa waarabu kwenye hii dunia maana hadi kanzu, baibui na nikabu vitambaa vyake vinatoka China (waabudu dragon)
Bila algebra aliyogundua Muhammad Musa Al khawarizim(logarithm),ambayo ndio information technology(IT),dunia ingekuwa gizani.Kila unachokiona kimetengenezwa na binadamu,kinatokana na algebra,mashuleni tunafundishwa algebra,logarithm,ni mwamba huyu aliyegundua.bado hapo sijagusia kwenye chemistry,physics,Biology.Waislamu wagunduzi wa mwanzo.
 
Waarabu na waislamu hawana akili ya kutengeneza bidhaa au vitu. Hao mnaowaita makafiri leo hii wakisema msitumie vitu au bidhaa zao mtahangaika sana. Hapa Tanzania, sehemu ambayo amekaa waarabu na waislamu wapo wengi hakuna maendeleo. Mfano Lindi, Tanga, Singida, Shinyanga mjini, Morogoro, Zanzibar, Mtwara na Kondoa
Kwa mfano, hii jamii forum imetengenezwa na kafiri pamoja na hiyo simu unayotumia. Sasa acha kutumia uone kwenye dini yenu mlivyokuwa hamna akili ya kutengeneza vitu au bidhaa.
Mh umesoma ulichoandika? Naomba Mungu akupe werevu .
 
Back
Top Bottom