Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka xxxx kuna professor mmoja muhas alikuta darasa lina wanafunzi 50 akacheka sana halafu akasema "siwezi kusahisha booklet zote hizi" the rest ni historiaIla ukweli ni kwamba siasa zimeua kiwango cha elimu, kama mtu wa 1 ya 7 pcb hawezi kupata hata lab manaake ufaulu umakua juu kiasi kwamba vyuo vyote vimeja bila kutalajia, shule za serikali ufaulu haukua wa kawaida kabisa kuna shule naijua ilikua na wana funzi zaidi ya 200 ila wote walifaulu kwa div one kuanzia 1 ya 3 hadi ya 7. tena sayansi, loh! Tatiza linakuja hapa hao watu wengi hawana uwezo wakifika chuoni mwaka wa kwanza wana disco kwasbb kule hamna siasa tena.
Kuna vyuo mnadharau ila vina course nzuri zenye tija kuliko hata kusoma ualimu hapo udsm hebu aangalie hizi taasis kama DMI, NIT kuna course nzuri sana zina pesa ukipata ajira.Pole mkuu.
Mimi mdogo wangu ana 1 ya pointi 8 HKL ila udom kila kozi kakosa mpaka nikaogopa. Nikawa nimemuombea Bachelor of Arts in Kiswahili Udsm kama back up ndo kapata na Education Mzumbe. Tupo tunaulizana hapa ka anaweza au tuapply round 2.
Ila haya mambo ya kuombeana vyuo tuwaachie watu wa stationery, ndugu ni kutaftiana lawama.
Sielewi kabisa lengo la hii serikali kuua elimu tena kwa makusudi kabisa. Huu ufaulu wa miaka ya hivi karibuni umekuwa juu mnoo.Ila ukweli ni kwamba siasa zimeua kiwango cha elimu, kama mtu wa 1 ya 7 pcb hawezi kupata hata lab manaake ufaulu umakua juu kiasi kwamba vyuo vyote vimeja bila kutalajia, shule za serikali ufaulu haukua wa kawaida kabisa kuna shule naijua ilikua na wana funzi zaidi ya 200 ila wote walifaulu kwa div one kuanzia 1 ya 3 hadi ya 7. tena sayansi, loh! Tatiza linakuja hapa hao watu wengi hawana uwezo wakifika chuoni mwaka wa kwanza wana disco kwasbb kule hamna siasa tena.
Elimu imekuwa haina thamani na kufaulu ni kawaida sana.Ila ukweli ni kwamba siasa zimeua kiwango cha elimu, kama mtu wa 1 ya 7 pcb hawezi kupata hata lab manaake ufaulu umakua juu kiasi kwamba vyuo vyote vimeja bila kutalajia, shule za serikali ufaulu haukua wa kawaida kabisa kuna shule naijua ilikua na wana funzi zaidi ya 200 ila wote walifaulu kwa div one kuanzia 1 ya 3 hadi ya 7. tena sayansi, loh! Tatiza linakuja hapa hao watu wengi hawana uwezo wakifika chuoni mwaka wa kwanza wana disco kwasbb kule hamna siasa tena.
Hongera. Ndiyo anaweza ku apply round two ili mradi asifanye confirmation ya huko alikochaguliwa kwa sasa. Mchagulie hata Sociology kuliko education na Kiswahili. UDSM IPO Sociology.Pole mkuu.
Mimi mdogo wangu ana 1 ya pointi 8 HKL ila udom kila kozi kakosa mpaka nikaogopa. Nikawa nimemuombea Bachelor of Arts in Kiswahili Udsm kama back up ndo kapata na Education Mzumbe. Tupo tunaulizana hapa ka anaweza au tuapply round 2.
Ila haya mambo ya kuombeana vyuo tuwaachie watu wa stationery, ndugu ni kutaftiana lawama.
Mwaka 2023 wamefaulu Sana hivyo competition ni kubwa mno. Kama akiwa Science awahi fasta Vyuo vizuri vya Clinical Officer, Pharmacy n.k vya Private. Tena atakuwa mzuri na baadaye anajiunga degree wanaingia kirahisi. Na akifika kusomea mfano MD aliyetoka form 6 hatomfikia kabisa aliyetoka Clinical.Elimu imekuwa haina thamani na kufaulu ni kawaida sana.
Enzi hizi madogo janja kibao wauza sura mitandao wanaanika mpaka matokeo wamepiga fresh wanaenda chuo .
Yaani hamna mzuka kabisa ,madogo wana one fresh wanahangaika wengine baada ya kutemwa round ya kwanza wapo frustrated sana wanajiona kama hawajafaulu kabisa .
Situation right now [emoji1]Tuongee ile kishkaji na kama enzi zile ni wanafunzi..Hakuna kitu kinauma kama utemwe selection ya kwanza yaani unajiona kama hauna kitu ni loser kabisa.
Ni bora upate ila ya kwanza kwanza lazima upate katika vyuo ulivyochagua ,piga hesabu vyuo vyote ulivyochagua utemwe[emoji1][emoji1].
Ni nzuri kwa watumishi walio in-service, hongera km umechaguliwa kwenye course hii utakua pamoja na ndg yng UDSMBachelor of Education in Physical Education and Sport Sciences
wenye ujuzi na hii course jaman ipo na soko?
😂😂😂Situation right now [emoji1]
Hii nzuri unaweza pata kazi hata yanga au simba huko si unaona sport iyoBachelor of Education in Physical Education and Sport Sciences
wenye ujuzi na hii course jaman ipo na soko?
Duh!...Ila kweli,kwani waliangalia nini hasa mwaka huu.Dogo wa pcb mwenye BBC ameachwa kote kabisa hadi Labaratory nayo kakosa.
Inatisha aisee....Ila ukweli ni kwamba siasa zimeua kiwango cha elimu, kama mtu wa 1 ya 7 pcb hawezi kupata hata lab manaake ufaulu umakua juu kiasi kwamba vyuo vyote vimeja bila kutalajia, shule za serikali ufaulu haukua wa kawaida kabisa kuna shule naijua ilikua na wana funzi zaidi ya 200 ila wote walifaulu kwa div one kuanzia 1 ya 3 hadi ya 7. tena sayansi, loh! Tatiza linakuja hapa hao watu wengi hawana uwezo wakifika chuoni mwaka wa kwanza wana disco kwasbb kule hamna siasa tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Washkaji zangu wenye Two wamekosa Kila chuo
Alichagua vyuo gani?Ila kweli,kwani waliangalia nini hasa mwaka huu.Dogo wa pcb mwenye BBC ameachwa kote kabisa hadi Labaratory nayo kakosa.