Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

Pole mkuu.
Mimi mdogo wangu ana 1 ya pointi 8 HKL ila udom kila kozi kakosa mpaka nikaogopa. Nikawa nimemuombea Bachelor of Arts in Kiswahili Udsm kama back up ndo kapata na Education Mzumbe. Tupo tunaulizana hapa ka anaweza au tuapply round 2.
Ila haya mambo ya kuombeana vyuo tuwaachie watu wa stationery, ndugu ni kutaftiana lawama.
Aende BAED Mzumbe.
 
Nashauri NECTA wakaze paper za 4 na 6
Vijana Wana mazingira mazuri ya kusomea kuliko Sisi. Kila kitabu anacho, tution za kutosha. Shule za Private waalimu wanafundisha vizuri yaani wako motivated kufanya extra mile mtoto afaulu ili naye apate motisha. Kuna shule Moja majuzi ilitoa motisha kwa waalimu wake kwa kuipaisha shule Necta 6. Imagine mwalimu anaondoka na TZS 15,000,000 motisha, wengine 14m, wengine 13m, wengine 12m, wengine 11m wengine 10m.

Mpaka non teaching staff wanapongezwa. Sasa shule kama hii unategemea hata ukikaza mitihani. wasifike on top. By the way na vijana vipanga halafu unaongezea waalim vipanga wenye degree first class na upper second kwenye maeneo kama Physics, Chemistry, Biology, Mathematics n.k huwezi shindano nao. Sisi tuliosoma kwa notes Tu bila kitabu chochote tukatusua tungesoma miaka ya leo ni A masomo yote kabisa. Tulipata One za kutisha ila unakuta kuna somo una B japo one za 7 na 3.
 
Vijana Wana mazingira mazuri ya kusomea kuliko Sisi. Kila kitabu anacho, tution za kutosha. Shule za Private waalimu wanafundisha vizuri yaani wako motivated kufanya extra mile mtoto afaulu ili naye apate motisha. Kuna shule Moja majuzi ilitoa motisha kwa waalimu wake kwa kuipaisha shule Necta 6. Imagine mwalimu anaondoka na TZS 15,000,000 motisha, wengine 14m, wengine 13m, wengine 12m, wengine 11m wengine 10m. Mpaka non teaching staff wanapongezwa. Sasa shule kama hii unategemea hata ukikaza mitihani. wasifike on top. By the way na vijana vipanga halafu unaongezea waalim vipanga wenye degree first class na upper second kwenye maeneo kama Physics, Chemistry, Biology, Mathematics n.k huwezi shindano nao. Sisi tuliosoma kwa notes Tu bila kitabu chochote tukatusua tungesoma miaka ya leo ni A masomo yote kabisa. Tulipata One za kutisha ila unakuta kuna somo una B japo one za 7 na 3.
Hakika hapo nimekuelewa mkuu.kwa Sasa mazingira ni mazuri hata kwa shule za serikali.
Pia Sasa materials(vitabu)vyapatikana kirahisi🤣🤣🤣🤣
 
Wanaangalia first choice tu iendane na matokeo , unakuta kaiomba hiyo lab lakini ni 2nd choice af first akaomba dental au MD
Now vyuo vya serikali kama huna 1.3 MD,Dental,Radiology pamoja na Macho kupata ni ngumu sana.
 
Sasa wanahisi watapata kcmc Lisa private nako chaliii
Iko hivi wengi huwa wanakosea kuomba round ya kwanza. Siku zote ukijiona maksi sio kali mapema sana unapaswa kuomba chuo cha hadhi yako round ya kwanza ila ukichelewa unajiweka katika wakati mgumu kwa sababu round zinazofuata hata wale vipanga waliokosa serikali nao watataka nafasi huko private.
 
Mwaka 2023 wamefaulu Sana hivyo competition ni kubwa mno. Kama akiwa Science awahi fasta Vyuo vizuri vya Clinical Officer, Pharmacy n.k vya Private. Tena atakuwa mzuri na baadaye anajiunga degree wanaingia kirahisi. Na akifika kusomea mfano MD aliyetoka form 6 hatomfikia kabisa aliyetoka Clinical.
Vyuo vya serikali vyote vimejaa kwa diploma asubiri mwakani tu.Mdogo wangu nimempeleka dental mapema kabla matokeo ya 6 hayajayoka alishanipanga nimchagulie Diploma dental ila akiharibu awe na pa kuanzia na kweli yanatoka matokeo ana 2.
 
Vijana Wana mazingira mazuri ya kusomea kuliko Sisi. Kila kitabu anacho, tution za kutosha. Shule za Private waalimu wanafundisha vizuri yaani wako motivated kufanya extra mile mtoto afaulu ili naye apate motisha. Kuna shule Moja majuzi ilitoa motisha kwa waalimu wake kwa kuipaisha shule Necta 6. Imagine mwalimu anaondoka na TZS 15,000,000 motisha, wengine 14m, wengine 13m, wengine 12m, wengine 11m wengine 10m. Mpaka non teaching staff wanapongezwa. Sasa shule kama hii unategemea hata ukikaza mitihani. wasifike on top. By the way na vijana vipanga halafu unaongezea waalim vipanga wenye degree first class na upper second kwenye maeneo kama Physics, Chemistry, Biology, Mathematics n.k huwezi shindano nao. Sisi tuliosoma kwa notes Tu bila kitabu chochote tukatusua tungesoma miaka ya leo ni A masomo yote kabisa. Tulipata One za kutisha ila unakuta kuna somo una B japo one za 7 na 3.
Kaka mitihan mm nliona anachokiongea jamaa n kwer mitihan imekua rahis sana nmeona paper physics n nyeupe kabsa mathematics hvo hvo bioz hvo hvo issue sio mazngra issue paper ziwe na uzito ka zaman hawa watoto waliofaulu wape mitihan ya mock inayotungwa kama wanapata hzo div 1 za 3 acha kusema hvo issue n mitihan
 
Hapo ntapingana na ww kifupi na madogo sahv wanasoma sana na mazingira n mazur tofaut na zaman. Sasa hv miaka 3 tu mtoto anaanza chekechea miaka miwili akifka na anapikwa anaiva na walimu vipanga. Miaka 5 anaingia msingi huku wazaz wakiwa nyuma yake kumpa sapot kama tuition, mavaz, chakula, afya nk

Sasa enzi zetu walimu tu walikuwa shda mpaka tunafundishwa na walimu wa UPE sa hv mpaka msingi unakuta waalimu wenye degree.

Lakn pia wazaz hawakuwa na mwamko wa kuwapeleka watoto shule wala kuwafuatilia nn wamekisoma shulen,. Pia mazngra ya shule zaman na sasa n tofaut yaan mtoto wa msing anatembea kama km4 kufka shule na akifka huko hapat chakula mpaka jion lakn sahv shule ni nyuma ya nyumba tu.

Tuondoe iman ya kwamba mitihan n rahis, VIJANA, WAZAZI NA WAALIMU TUWAPE MAUA YAO.
 
Back
Top Bottom