Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

Hapo ntapingana na ww kifupi na madogo sahv wanasoma sana na mazingira n mazur tofaut na zaman. Sasa hv miaka 3 tu mtoto anaanza chekechea miaka miwili akifka na anapikwa anaiva na walimu vipanga. Miaka 5 anaingia msingi huku wazaz wakiwa nyuma yake kumpa sapot kama tuition, mavaz, chakula, afya nk

Sasa enzi zetu walimu tu walikuwa shda mpaka tunafundishwa na walimu wa UPE sa hv mpaka msingi unakuta waalimu wenye degree.

Lakn pia wazaz hawakuwa na mwamko wa kuwapeleka watoto shule wala kuwafuatilia nn wamekisoma shulen,. Pia mazngra ya shule zaman na sasa n tofaut yaan mtoto wa msing anatembea kama km4 kufka shule na akifka huko hapat chakula mpaka jion lakn sahv shule ni nyuma ya nyumba tu.

Tuondoe iman ya kwamba mitihan n rahis, VIJANA, WAZAZI NA WAALIMU TUWAPE MAUA YAO.
Pepa ni nyeupe kaka.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom