Wahitimu wa Kidato cha 6, tuliwaambia, mmefaulu sana fanyeni maamuzi sahihi

Tuongee ile kishkaji na kama enzi zile ni wanafunzi..Hakuna kitu kinauma kama utemwe selection ya kwanza yaani unajiona kama hauna kitu ni loser kabisa.

Ni bora upate ila ya kwanza kwanza lazima upate katika vyuo ulivyochagua ,piga hesabu vyuo vyote ulivyochagua utemweπŸ˜„πŸ˜„.
 
Mwaka xxxx kuna professor mmoja muhas alikuta darasa lina wanafunzi 50 akacheka sana halafu akasema "siwezi kusahisha booklet zote hizi" the rest ni historia
 
Kuna vyuo mnadharau ila vina course nzuri zenye tija kuliko hata kusoma ualimu hapo udsm hebu aangalie hizi taasis kama DMI, NIT kuna course nzuri sana zina pesa ukipata ajira.
 
Sielewi kabisa lengo la hii serikali kuua elimu tena kwa makusudi kabisa. Huu ufaulu wa miaka ya hivi karibuni umekuwa juu mnoo.
 
Elimu imekuwa haina thamani na kufaulu ni kawaida sana.

Enzi hizi madogo janja kibao wauza sura mitandao wanaanika mpaka matokeo wamepiga fresh wanaenda chuo .


Yaani hamna mzuka kabisa ,madogo wana one fresh wanahangaika wengine baada ya kutemwa round ya kwanza wapo frustrated sana wanajiona kama hawajafaulu kabisa .
 
Hongera. Ndiyo anaweza ku apply round two ili mradi asifanye confirmation ya huko alikochaguliwa kwa sasa. Mchagulie hata Sociology kuliko education na Kiswahili. UDSM IPO Sociology.
 
Mwaka 2023 wamefaulu Sana hivyo competition ni kubwa mno. Kama akiwa Science awahi fasta Vyuo vizuri vya Clinical Officer, Pharmacy n.k vya Private. Tena atakuwa mzuri na baadaye anajiunga degree wanaingia kirahisi. Na akifika kusomea mfano MD aliyetoka form 6 hatomfikia kabisa aliyetoka Clinical.
 
Hii
Bachelor of Education in Physical Education and Sport Sciences

wenye ujuzi na hii course jaman ipo na soko?
Ni nzuri kwa watumishi walio in-service, hongera km umechaguliwa kwenye course hii utakua pamoja na ndg yng UDSM
 
Inatisha aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…