chrstopher
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 275
- 558
muulize ivi weeeee mr.misondo umepigaje apooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its all mindset, while vyuo vikuu huwa wanaaminishwa wao ni special , wana deserve kazi za juu. Hawa formfour huku chini walishakubaliana na hali, they know wasipo hustle hawafiki mahali, so wame build in mind kukubaliana na hali, na ku fight. They simply have no ego. Wasomi in the other side they have egoElimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu kuliko elimu ya chuo kikuu cha sasa.
average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo. sababu ajira hakuna. na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi za chini.
huku vijana ambao hawakupata elimu kubwa wao maisha yanawaendea vizuri tu. sababu wanafanya kazi yoyote hawajajipa daraja lolote la maisha.
mfano kijana Misso misondo ana miaka 24 na amenunua gari yake ya kwanza
View attachment 2939893
mfano wa pili binti nayce moshi konda maarufu Tilisho ana miaka 24 amenunua gari yake ya kwanzaView attachment 2939892
🤣🤣🤣🤣 Taratibu mzeeMaisha sio kupambana maisha ni kuinuliwa .
Je unapopambana unapambania nini ?
Sisi ambao tunatoka familia ambazo kuna educated and uneducated ,we know how life is.
Ukonda
Bodaboda
Umachinga
Zote hizi sio kazi ni kupoteza majira yako.
Sina cha kuongezea sisi watoto wa kimasikini hatuna connection kabisa, tofauti na hao wa kishuaHao unaosema wamezaliwa maisha duni au wamesoma shule za chini wengi wao ndio wanapata shida ukubwani. Mzazi anayeweza kulipa ada ya chekechea mpaka chuo, huyo hana nyuma ya tende na baskeli. Mzazi huyo yuko more likely kumiliki assets au biashara au ajira kubwa zinazomfanya aweze kumuwezesha mwanae aliyesoma private. Yani mtu atoe mamilioni kusomesha ashindwe kutoa mamilioni kama mtaji?
Meanwhile, mtoto wa muuza gongo ambaye alikuwa anarudishwa nyumbani kwa kukosa kuchangia sado ya mahindi na maharagwe shuleni mzazi wake yuko more likely kutokuwa na assets, cash, ajira nzuri wala maisha safi. Mzazi aliyekuwa anakosa hela ya mtoto kunyoa nywele saloon atapata wapi mtaji wa kumuwezesha mwanae akishasoma kwa mkopo? Miujiza.
Wanafunzi waliosoma kayumba wengi sana ndio waliofeli, nia na uwezo anao ila msingi wa kuanzia hana. Watoto wa kishua kibao darasani alikula hajui Algebra wala Thermodynamics ila kwamba ukimpa duka la jumla anashindwa kuendesha?
Na iko hivi, hata huyo aliyesoma private tupu baba yake asimuwezeshe bado ana cycle ya wenye uwezo tofauti na kayumba ambaye cycle yake imejaa bodaboda, wajenzi na wacheza ndondo ambao hata kumchangia 10,000 mpaka mkimbizane.
Hata hao wenye mabasi wanahitaji watumishi wenye elimu na sasa wanahitaji degree kabisa….! Mpeleke mtoto shule elimu ni muhimu sanaAngalia mwenye mabasi ya Easther ili ujue kusoma sana sio kufanikiwa.
Thread closed!Watu wasiosoma huwa mnajifariji sana. Yani mtu mwenye leaving certificate kununua IST au Alphard tiyari ni ishara ya wasomi kuwa maskini na wenye chuki?
Unashindana na watu wasioshindana nawe. Tumia nguvu zako kuishi maisha yako, ukute hakuna anayekuwa inspired nawewe infact hata ukifa leo kuna watu msibani kwako watavimbiwa au kulewa pombe bila kusikitika juu yako.
Huwezi kuwa satisfied maishani kama utaishi kwa kushindana na watu. Ukiona umenunua IST, msomi akinunua Mark X unajawa chuki. Ukinunua Harrier msomi mmoja akatembea kwa miguu unavimba ila mwingine akiwa na Ford Ranger unajawa chuki.
Wewe fanya wanao waishie Form 4 ili wawe makonda kama huyo binti au wacheze kwenye vumbi kama Misondo uone😂
Hizi nyuzi kipindi hiki ni nyingi kwelikweli enzi za kikwete hazikuwepoElimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu kuliko elimu ya chuo kikuu cha sasa
Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi za chini.
Huku vijana ambao hawakupata elimu kubwa wao maisha yanawaendea vizuri tu. sababu wanafanya kazi yoyote hawajajipa daraja lolote la maisha.
Mfano kijana Misso Misondo ana miaka 24 na amenunua gari yake ya kwanza.
View attachment 2939893
Mfano wa pili binti Nice Moshi konda maarufu Tilisho ana miaka 24 amenunua gari yake ya kwanza.
View attachment 2939892
Mafanikio ni kitu subjective sana na Debatable.Wewe umepaniki.. uzi umeeleza kutojipa daraja. Kufanya kazi yoyote.
Kisha wakawekwa walio mifano wachache wanaofanya humble jobs na age zao.
Kwa ufupi mimi binafsi nina elimu na Mungu kanibariki maisha ninayo. ukitaka njoo tuonane. nikuelekeze ofisini kwangu uje ama nyumbani uje uone uhalisia wangu
Huu uzi ni kumotivate wasomi waache kujipa daraja la juu na wasichague kazi. Na wala wasijipe daraja.
Maana ukweli mchungu wahitimu wengi wa zama hizi waliopo age under 30 wana msongo wa mawazo sababu hawana kipato.
Wanapaswa wabadilike wasichague kazi.
Mfano hai Mwijaku ni msomi ila hachagui kazi. Amejishusha anaonekana mpuuzi ila maendeleo yake yanaonekana
Wewe una umasikini wa akili ,Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu kuliko elimu ya chuo kikuu cha sasa
Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana msongo mkubwa wa mawazo sababu ajira hakuna. Na pia elimu imewaweka daraja la juu hawawezi kufanya kazi za chini.
Huku vijana ambao hawakupata elimu kubwa wao maisha yanawaendea vizuri tu. sababu wanafanya kazi yoyote hawajajipa daraja lolote la maisha.
Mfano kijana Misso Misondo ana miaka 24 na amenunua gari yake ya kwanza.
View attachment 2939893
Mfano wa pili binti Nice Moshi konda maarufu Tilisho ana miaka 24 amenunua gari yake ya kwanza.
View attachment 2939892
Kwahiyo conclusion yako na solution ni vijana ambapo ni non priveledged kiuchumi na kwenye ajira wawe walamba viatu na wapuuzi tu huko mitaani ili mradi kusaka kushibisha tumbo tu , si ndio ?Wewe umepaniki.. uzi umeeleza kutojipa daraja. Kufanya kazi yoyote.
Kisha wakawekwa walio mifano wachache wanaofanya humble jobs na age zao.
Kwa ufupi mimi binafsi nina elimu na Mungu kanibariki maisha ninayo. ukitaka njoo tuonane. nikuelekeze ofisini kwangu uje ama nyumbani uje uone uhalisia wangu
Huu uzi ni kumotivate wasomi waache kujipa daraja la juu na wasichague kazi. Na wala wasijipe daraja.
Maana ukweli mchungu wahitimu wengi wa zama hizi waliopo age under 30 wana msongo wa mawazo sababu hawana kipato.
Wanapaswa wabadilike wasichague kazi.
Mfano hai Mwijaku ni msomi ila hachagui kazi. Amejishusha anaonekana mpuuzi ila maendeleo yake yanaonekana
We ni zezeta kabisa ,huyo mpumbavu zezeta mwenzako ndio unamuita content creator , content gani aliyo nayo uyo zoba mwenzako , ya uchawa ?Nimegundua wewe ni Zuzu. Hujui hata maana ya elimu.
Hujui kama mwijaku ni content creator na uchawa ndio Niche yake aliyoichagua ya kuitengenezea content ?
Mwijaku amesomea digrii ya maigizo kutoka department of creative arts ya udsm. Sasa Ulitaka awe anatibu watu kwa digrii yake ya maigizo.?
Nimegundua naongea na mtu mjinga na maskini asiyejua hata maana ya division of labour
Kwa hiyo mkuu, kwako mtu akishamiliki gari tu tayari keshatoboza kimaisha?Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu kuliko elimu ya chuo kikuu cha sasa