Wahitimu wa vyuo vikuu wengi wana depression. Vijana ambao hawajavuka hata form 4 wanazidi kujipata tu, sababu hawana aibu na hawajipi class ya juu

All iko kwenye ma
Its all mindset, while vyuo vikuu huwa wanaaminishwa wao ni special , wana deserve kazi za juu. Hawa formfour huku chini walishakubaliana na hali, they know wasipo hustle hawafiki mahali, so wame build in mind kukubaliana na hali, na ku fight. They simply have no ego. Wasomi in the other side they have ego
 
Sina cha kuongezea sisi watoto wa kimasikini hatuna connection kabisa, tofauti na hao wa kishua
 
Jamani acheni kuwafanya watu wasuone umuhimu wa Elimu maana kama ni swala la mafanikio wengi ambao hawajasoma ndio wanapata tabu sana kuliko amabao wamesema uzuri namba hazifanganyi kila mtu anajua hali ya kwao na mtaani kwao!

Msio soma huwa mkipata mafanikio kidogo mnaanza kuona elimu haina maana kwakuwa mmepata…
Jamani Elimu ni hazina someni ,wapelekeni watoto shule tena shule nzuri ikiwezekana…

Hata mtoa mada pengine ulikwenda shule lakini haukupata elimu ndio maana una kejeli na unadhani kuwa na gari ndio kipimo pekee cha mafanikio… watu msio penda shule au elimu mko tayari kuiba au kuuwa ili mdhibitishe tuu kuwa elimu haina maana!

Hivi hata kwa akili yako kidogo kweli tukichukua takwimu za mateja na wala unga tutapata wengi ni wapi kati ya waliosoma na ambao waliosoma? Uzuri macho na namba huwa havidanganyi tazama wanaokuzunguka!

Hata ukiwachukua waliosoma na ambao wamesoma na ukapima kiwango cha msongo utapata jibu na uzuri namba hazidanganyi !

Mtu asiyesoma akipata mafanikio amshukuru Mungu lakini sio hoja ya kudhibitisha kuwa Elimu haina umuhimu maana mafanikio ni mchakato !

Elimu Elimu Elimu Elimu ni hazina kuu
 
Baada ya kumaliza chuo miaka mi 3 tu akili huwa inakaa sawa huwezi kuendelea kuchagua kazi labda uwe na kichwa kigumu au umetoka wealth family.

Muda mwingine kufanikiwa kwenye maisha unahitajika uwe na vitu flan vya ziada , hata dunia nzima tungekua ni watu wenye kiwango kimoja cha elimu bado waliofanikiwa na wasiofanikiwa wangekuwepo tu.
 
Jamii forum hii,,, kwa upande wangu wasomi wasiogope maisha na wasiogope jamii inaonawaonaje!!! Na kufanya kazi za kuajiriwa ni kipaji jamani nilipata kazi huko kijijini aisee nilivyoenda kuripoti sikurudi Mungu anisamehe!!! Yale mazingira na mshahara nililinganisha biashara na mishe zangu nikaona ujinga huu nikaachana nayo.. Kuhusu wanangu watasoma shule ambayo nina uwezo nayo na sitalazimisha mtoto asome hata kama hana akili huko ni kupoteza muda ni bora aende ufundi au kitu anachoona anaweza afanye.
Maisha yamebadilika kuliko kijana apate msongo wa mawazo ni bora aingie mtaani ajichanganye wakati akitafuta ajira
 
Thread closed!
 
Hizi nyuzi kipindi hiki ni nyingi kwelikweli enzi za kikwete hazikuwepo
 
Mafanikio ni kitu subjective sana na Debatable.
Mimi Mafanikio yangu nikipata Mwanamke Mweusi, shape kiaina, na Mwelewa basi!!! . Wewe na hummer yako hunitishi.😂
 
Ila wabongo ss mtu kumiliki gari ndo mafanikio mfano huyo miso misondo kanunua gari halaf kuna msomi kajenga nyumba ila hana gari so utasema miso misondo ana mafanikio makubwa kuliko huyo msomi sababu kanunua alphard
 
Wewe una umasikini wa akili ,
Kwanini usingeandika kwamba vijana wa Tanzania wanakabiliwa na msongo wa mawazo na matatizo ya kisaikolojia kutokana na uhaba wa ajira na fursa za kiuchumi na badala yake unakimbilia kusema wenye elimu ya juu ndio victims ,
Umefanya research hiyo wapi na una data zipi na umetumia methods gani kufanya hiyo research na kupata hiyo conclusion yako ya kujiaminisha kwamba hao vijana wasio na elimu wako better off kiuchumi kuliko hao walio na elimu ya juu ?
Unajua sisi kama Taifa tusipokuwa na watu wa kujenga hoja ,kufanya analysis na critical thinking ,hili taifa litaendelea kuwa la kipuuzi sana
Umefanya analysis na research ya kujua ni changamoto zipi wanakutana nazo hao vijana na kusababisha matatizo ya afya ya akili yanayowakuta ?
Hili ni chronic issue Kwa watanzania wengi
Kwa hiyo kununua IST wewe kwako ni mafanikio si ndio ?
Kweli ndio maana Jomo Kenyatta aliwahi sema Nyerere anaongoza maiti , wewe ni miongoni mwao hizo maiti .


Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo conclusion yako na solution ni vijana ambapo ni non priveledged kiuchumi na kwenye ajira wawe walamba viatu na wapuuzi tu huko mitaani ili mradi kusaka kushibisha tumbo tu , si ndio ?

Na wewe unajiona ni mtu mwenye akili kabisa , na ukakuta una kichwa kikubwa kama papai na unakaa na kutype huu upuuzi

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
We ni zezeta kabisa ,huyo mpumbavu zezeta mwenzako ndio unamuita content creator , content gani aliyo nayo uyo zoba mwenzako , ya uchawa ?
Uchawa nao ni content sikuhizi si ndio ?

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu, kwako mtu akishamiliki gari tu tayari keshatoboza kimaisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…