Unauliza kuhusu wanafunzi wa NIT au hao Burkina Faso. Maana nimeongelea NIT na Burkina Fasomatirio wamepata wapi?
namanisha kiwanda gani?
Unaweza kuanzisha kiwanda cha kuassemble, kisha miaka ya baadae ukaanza kuunda components zako mwenyeweHamna jipya apo, wame assemble tu
Sawa ni rahisi kuunda, lakini hatuna kiwanda hata kimoja kinachounda magari ya umemeMatairi + Mota + Battery + Transmission + Chaja
Arusha science wanafanya daily, na ukifika pale wanakutembeza na gari lao,Kwani walichofanya ni kitu kibaya? Au hutaki tuwasifie?
Tunacho mkuu. Cha magari ya jeshiSawa ni rahisi kuunda, lakini hatuna kiwanda hata kimoja kinachounda magari ya umeme
Sasa hata tukibeza ni rahisi kufanya hivyo itasaidia nini wakati hatuna kiwanda hata kimoja cha kufanya hivyo
Cha ndege tunacho, bado cha magari
Hii logic yako haimake senseArusha science wanafanya daily, na ukifika pale wanakutembeza na gari lao,
Hao ni watoto wa form 5,
University wanatakiwa waliboreshe zaidi hata waweke muonekano mzuri au speed kubwa au inayobeba chaji kubwa,
But utakuta kagari kabaya (kale la UD) kuliko hata ka masoud kipanya.
Kama serikali ikiwapuuzia hawatofika mbali. Kila mtu anajua kitu ambacho hao wanachuo hawana ni mtaji na supportIf their effort can answer this question: So what? They will reach far, if it doesn't, then their effort is worthless!
Hivi kwa nini huwa hatupendi kuendeleza project za watuMagari ya kipanya yaliishia wapi? π
Bongo huu ni upuuzi