Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

No, kwa mwanamke alokubali kuolewa mapema na kuheshimu mume na uanaume wa mume wake ndio hatozeeka kama nyanya iliosahauliwa ikalala jikoni.

20s mnaoringa nawasubiri mguse 30s Nmekaa pale
Tatizo unaandika kwa mihemko, heshima kwa mume na uzee vinahusiana vipi?

"nawasubiri mguse 30s"
Jinsia yangu huijui ila unaandika tu.
Acha mihemko bro.
 
Salari oh, salari oh oh oh
Si tutafute salari oh, salari oh oh oh
Mama, cheza alalalalala Cheza alalalalala
Hata kama sivai tai Madharau haifai
Ninahustle till I die Sema tena, till I die (This part 3x)
Salari oh, salari oh oh oh
Ninatafuta salari oh, salari oh oh oh
Salari oh,
 
Ile ngoma yake ya sweetlove. Kipindi hicho niko kwenye penzi jipya dadek. Kila nikisikia hiyo ngoma, then inbox zinaingia sms za binti msupu akijibebisha, nikawa naona dunia yote ni ya kwangu!

Mapenzi ni nyoko!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole sana, nini kikafuata baada ya hapo?
 
No, kwa mwanamke alokubali kuolewa mapema na kuheshimu mume na uanaume wa mume wake ndio hatozeeka kama nyanya iliosahauliwa ikalala jikoni.

20s mnaoringa nawasubiri mguse 30s Nmekaa pale
Mkuu tusamehe 😂😂😂😂
 
Ile ngoma yake ya sweetlove. Kipindi hicho niko kwenye penzi jipya dadek. Kila nikisikia hiyo ngoma, then inbox zinaingia sms za binti msupu akijibebisha, nikawa naona dunia yote ni ya kwangu!

Mapenzi ni nyoko!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu story ya penzi lako ikaishiaje
 
Back
Top Bottom