stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 216
DadekIle ngoma yake ya sweetlove. Kipindi hicho niko kwenye penzi jipya dadek. Kila nikisikia hiyo ngoma, then inbox zinaingia sms za binti msupu akijibebisha, nikawa naona dunia yote ni ya kwangu!
Mapenzi ni nyoko!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]