Wamenisikia sana na wasipoacha adhabu iko mlangoni. Uvum8livu wa Mungu umefika mwisho. Hata kabla ya gharika kuu Mungu alikuwa mvumilivu kwa maovu ya kutisha mwisho akasema baaaaasiii......yatoshaWamekusikia mkuu
Kati yako wewe na Mungu nani anatoa adhabu mkuu?Wamenisikia sana na wasipoacha adhabu iko mlangoni. Uvum8livu wa Mungu umefika mwisho. Hata kabla ya gharika kuu Mungu alikuwa mvumilivu kwa maovu ya kutisha mwisho akasema baaaaasiii......yatosha
Kuwasikiliza ni lazima ili tuliokoe taifa na hili jangaHamisha stesheni ili usiwasikilize.
Huoni kama unajitengenezea hasira,chuki,hukumu na sonona kwa bei rahisi?Kuwasikiliza ni lazima ili tuliokoe taifa na hili janga
Ni Mungu ila nimetumwa tu kuleta ujumbe. Wakidharau this time mguu utaota tende. Si wameona hakuna mamlaka inayowakemea. Sasa imani ya kikristo imekuwa HOLELA tu. Mtu anaamka asubuhi na mafundisho yake na kanisa lake . It is enough!Kati yako wewe na Mungu nani anatoa adhabu mkuu?
Kikubwa ujumbe wako umefika
SawaNi Mungu ila nimetumwa tu kuleta ujumbe. Wakidharau this time mguu utaota tende. Si wameona hakuna mamlaka inayowakemea. Sasa imani ya kikristo imekuwa HOLELA tu. Mtu anaamka asubuhi na mafundisho yake na kanisa lake . It is enough!
No. Not at all. I am doing it happily for my fellow human beings. Watu hawa wanapotosha ulimwengu. Kama naweza kuuambia ulimwengu uovu wao basi at least my existence has a meaning and will probably be remembered.Huoni kama unajitengenezea hasira,chuki,hukumu na sonona kwa bei rahisi?
Si vizuri. Ni kutengeneza taifa la mataahira kwa,jina la ukristo. Waumini wakristo wengi wao hawaijui imani wala historia ya dini. Hata hiyo biblia tu tafuta ni wakristo wangapi wameisoma hata ROBO tu. Katika wakristo elfu moja ukipata wakristo hamsini sijui. Watu kama hao kutapeliwa rahisi sana maana hawana misingi ya dini yao.Mi mwenyewe maisha yakinipiga sana najiita Nabii naenda kuwapiga hela wafuasi wa yesu
Lakini wao wwnyewe hawakutajirika kwa kutoa hozo zaka na sadaka maalumu. Kama vitu hivyo ni vya kumtajirisha mtu wangeenda kutoa huko makanisani wapate utajiri. Wanajua utajiri hauji kwa kwa njia hiyo. Wanakuambia mtolee Mungu kumbe zinaingia mifukoni mwao.na mahubiri yao yanahusu utajiri tu
Uliposema,watu hawana elimu ya biblia...uko right!hapo ndio tatizo limeanzia,hosea 4:6"my people are destroyed for lack of knowledge"Adhabu yenu inakuja. Hamwezi kuliharibu taifa la Mungu na watu ambao wengi wao hawana elimu ya Biblia mkipindosha maandiko na kufundisha uongo kwa manufaa binafsi.
Suala lililopo sio kutowasikia bali wasitumie jina la YESU kuwaibia waumini wa kikristo wasiokuwa na akili hata zile za kuvukia ZEBRA.Hamisha stesheni ili usiwasikilize.