Usiwe unawasikilizaHuu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni upumbavu na kudhalilisha imani. Huo upuuzi mlifundishwa wapi. Acheni UPESI. Kanisa limejengwa kwenye misingi ya mitume na hakuna kati yao alifanya upumbavu mnaoufanya. ACHENI UPESI before the wrath of God is poured on you. Kama ni pesa mnatafuta katafuteni hata shambani zipo acheni kupotosha watu na kuifanya imani ya kikristo kuwa kituko.
Tatizo ni kwamba ukweli ni huu: Watu hawamtafuti Mungu kwa upendo wa moyoni. Watu wanantafuta Mungu kwa sababu ya kutatua matatizo ya kidunia . Maarifa ya kimungu hawana kwa sababu hawayatafuti kwa nia safi. Wanakimbilia na kujazana huko makanisani wanakoitwa kupata miujiza ya uponyaji na pesa. Makanisa hayo ni ya motivational speakers wanaotumia ulaghai wa jina la Yesu so as to lure as many as possible ili hata yule aliye masikini atoe kile alicho nacho awape.Ni Kama nakuskia ukisema,njia Bora ya kuishinda malaria ni kuua mbu wote duniani na sio kuelimisha watu namna ya kujikinga na kutunza mazingira.
Uliposema,watu hawana elimu ya biblia...uko right!hapo ndio tatizo limeanzia,hosea 4:6"my people are destroyed for lack of knowledge"
huwezi kumzuia shetani asidanganye,huwezi kumzuia shetani asipotoshe ila unaweza fundisha watu wakajua namna ya kujilinda na mafundisho potofu
Wote wangefutwa. Ni utapeli mtupu na kupumbaza akili za watu. Kudumaza akili ya mwafrika itegemee miujiza. Wenzetu wanatumia zawadi ya akili kutengeneza vifaa Bora kabisa kama smartphones, ndege zisizoendeshwa na rubani, spacecrafts za kwenda anga za mbali. Sisi tumekuwa watu wa kutafuta miujiza. Muujiza gani uliweza kilutengeneza hata smartphone?? Upumbavu huu uishe sasa. Wenzetu wanatuona kama nyani tu. And they are right to think that way! Binadamu ambao Mungu ametujalia akili lakini tunajazana kanisani kutafuta miujiza tukiitwa manyani ni haki yetu.Hivi hawa nao wakianzishiwa bodi ya ithibati yao itakuaje?
Hiyo ni sawa na kusema wauaji tusiwatafute na kuwapeleka mbele ya haki. Are you serious? Watu wanaua taifa letu na jamii kubwa ya waafrika unasema tusiwasikilize? Ni akili gani hiyo?!!Usiwe unawasikiliza
Dini zote zifutwe tuWote wangefutwa. Ni utapeli mtupu na kupumbaza akili za watu. Kudumaza akili ya mwafrika itegemee miujiza. Wenzetu wanatumia zawadi ya akili kutengeneza vifaa Bora kabisa kama smartphones, ndege zisizoendeshwa na rubani, spacecrafts za kwenda anga za mbali. Sisi tumekuwa watu wa kutafuta miujiza. Muujiza gani uliweza kilutengeneza hata smartphone?? Upumbavu huu uishe sasa. Wenzetu wanatuona kama nyani tu. And they are right to think that way! Binadamu ambao Mungu ametujalia akili lakini tunajazana kanisani kutafuta miujiza tukiitwa manyani ni haki yetu.
Fala kweli si ubadilishe radio kwani lazima kuwa sikiliza au wewe shoga kwamba mkono mlain unashindwa kubadilisha radio sikiliza clouds zingnezo....mkund...... wakoHuu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni upumbavu na kudhalilisha imani. Huo upuuzi mlifundishwa wapi. Acheni UPESI. Kanisa limejengwa kwenye misingi ya mitume na hakuna kati yao alifanya upumbavu mnaoufanya. ACHENI UPESI before the wrath of God is poured on you. Kama ni pesa mnatafuta katafuteni hata shambani zipo acheni kupotosha watu na kuifanya imani ya kikristo kuwa kituko.
Sasa kwanini umekuja kulalamika huku si uende kwenye mamlaka inayohusika ukamtoe taarifa mkuuHiyo ni sawa na kusema wauaji tusiwatafute na kuwapeleka mbele ya haki. Are you serious? Watu wanaua taifa letu na jamii kubwa ya waafrika unasema tusiwasikilize? Ni akili gani hiyo?!!
Akili zako ndio zimeishia hapo?Fala kweli si ubadilishe radio kwani lazima kuwa sikiliza au wewe shoga kwamba mkono mlain unashindwa kubadilisha radio sikiliza clouds zingnezo....mkund...... wako
Kwani mamlaka hazioni huu utapeli unaofanyika kwa jina la Yesu?Sasa kwanini umekuja kulalamika huku si uende kwenye mamlaka inayohusika ukamtoe taarifa mkuu
Unaoneka unatoa yas by mix wewe ni wakala wao wa yas by mix je unatoa kweli ....maana maandiko yako yanaonesha wewe ni wakala wa yas by mixKwani mamlaka hazioni huu utapeli unaofanyika kwa jina la Yesu?
Mamlaka zinaongozwa na watu wenye akili hawakurupuki kwa mihemkoKwani mamlaka hazioni huu utapeli unaofanyika kwa jina la Yesu?