Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

Hivi hawa nao wakianzishiwa bodi ya ithibati yao itakuaje?
 
Usiwe unawasikiliza
 
Kama Mungu alivyosema katika agano la kale kwa wale manabii wa uongo kwamba "SIKUWATUMA MIMI" naomba wakristo wa kweli wazingatie hili. Manabii feki wamejaa kila mahali nyakati hizi. Maneno yao mara "Bwana amenionyesha", Bwana ameniambia", "Mungu alinitokea" . UONGO MTUPU! NI HADITHI ZA KUTUNGA TU. Mungu anasema tena "SIKUWATUMA MIMI". Mwenye masikio ya kusikia asikie. Na kiziwi aendelee kuwafuata hawa matapeli. Miujiza yao ni ya kishetani si ya Mungu wa kweli.
 
Tatizo ni kwamba ukweli ni huu: Watu hawamtafuti Mungu kwa upendo wa moyoni. Watu wanantafuta Mungu kwa sababu ya kutatua matatizo ya kidunia . Maarifa ya kimungu hawana kwa sababu hawayatafuti kwa nia safi. Wanakimbilia na kujazana huko makanisani wanakoitwa kupata miujiza ya uponyaji na pesa. Makanisa hayo ni ya motivational speakers wanaotumia ulaghai wa jina la Yesu so as to lure as many as possible ili hata yule aliye masikini atoe kile alicho nacho awape.
 
Hivi hawa nao wakianzishiwa bodi ya ithibati yao itakuaje?
Wote wangefutwa. Ni utapeli mtupu na kupumbaza akili za watu. Kudumaza akili ya mwafrika itegemee miujiza. Wenzetu wanatumia zawadi ya akili kutengeneza vifaa Bora kabisa kama smartphones, ndege zisizoendeshwa na rubani, spacecrafts za kwenda anga za mbali. Sisi tumekuwa watu wa kutafuta miujiza. Muujiza gani uliweza kilutengeneza hata smartphone?? Upumbavu huu uishe sasa. Wenzetu wanatuona kama nyani tu. And they are right to think that way! Binadamu ambao Mungu ametujalia akili lakini tunajazana kanisani kutafuta miujiza tukiitwa manyani ni haki yetu.
 
Usiwe unawasikiliza
Hiyo ni sawa na kusema wauaji tusiwatafute na kuwapeleka mbele ya haki. Are you serious? Watu wanaua taifa letu na jamii kubwa ya waafrika unasema tusiwasikilize? Ni akili gani hiyo?!!
 
Dini zote zifutwe tu
 
Fala kweli si ubadilishe radio kwani lazima kuwa sikiliza au wewe shoga kwamba mkono mlain unashindwa kubadilisha radio sikiliza clouds zingnezo....mkund...... wako
 
Hiyo ni sawa na kusema wauaji tusiwatafute na kuwapeleka mbele ya haki. Are you serious? Watu wanaua taifa letu na jamii kubwa ya waafrika unasema tusiwasikilize? Ni akili gani hiyo?!!
Sasa kwanini umekuja kulalamika huku si uende kwenye mamlaka inayohusika ukamtoe taarifa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…