GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #161
Naunga mkono hoja!Alikujibuje huyo mwamba? Tuwekee jibu na sisi tunufaike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja!Alikujibuje huyo mwamba? Tuwekee jibu na sisi tunufaike.
Uebert Angel alinijibu swali ambalo niliwauliza watalaamu wa theologia wakatoa majibu ambayo sijawahi kuridhika ,huyu mwamba alifundisha "the origin of God ".Toka nikiwa mdogo nilikuwa nauliza Mungu alitoka wapi na anakaa wapi.Huyu mwamba alijibu haya maswali mawili nikanyanyua mikono juu .
Mkuu, hakuna kosa kukusanya sadaka. Ni sahihi, maadam wanaitumia kwa kazi ya Mungu.Wakusanya sadaka tu
Kama ni msanii na watu wanasaidika kupitia mafundisho yake, basi usanii wake ni mzuri. Hata hivyo, inawezekana sijajua ulichomaanisha kwa neno msanii, labda umemaanisha kinyume cha matumizi ya kawaida ya huo msamiati. Lakini kama ni kinyume chake, utakuwa umekosea.Mwakasege ni msanii tu na amewashika wengi wasiojielewa
🙏🙏🙏Pastor Joel Senny, Infinity Glory Church, Arusha. Unaweza kufuatilia mafundisho yake YouTube na Facebook
Nyie ndio mnajifanyaga assistant Jesus kutwa kuhukumu watumishi. Sijui nan kawapa hicho kibali
Sawa mkuu......endelea kuingizwa chaka.Kama ni msanii na watu wanasaidika kupitia mafundisho yake, basi usanii wake ni mzuri. Hata hivyo, inawezekana sijajua ulichomaanisha kwa neno msanii, labda umemaanisha kinyume cha matumizi ya kawaida ya huo msamiati. Lakini kama ni kinyume chake, utakuwa umekosea.
Mwakasege ni mtumishi wa Mungu anayempenda Mungu.
SawaPapa Francis kanisa moja la Mitume 😂😂😂
Yaani kukemea uovu siku hizi ni kuhukumu?Nyie ndio mnajifanyaga assistant Jesus kutwa kuhukumu watumishi. Sijui nan kawapa hicho kibali
Nyie ndio mnajifanyaga assistant Jesus kutwa kuhukumu watumishi. Sijui nan kawapa hicho kibali
Kama ni msanii na watu wanasaidika kupitia mafundisho yake, basi usanii wake ni mzuri. Hata hivyo, inawezekana sijajua ulichomaanisha kwa neno msanii, labda umemaanisha kinyume cha matumizi ya kawaida ya huo msamiati. Lakini kama ni kinyume chake, utakuwa umekosea.
Mwakasege ni mtumishi wa Mungu anayempenda Mungu.
Nimo nuruni, ninaishi nuruni na kutembea nuruni.Sawa mkuu......endelea kuingizwa chaka.
✅🙏Mwakasege ni mtumishi wa kweli ndio maana huduma yake haijashuka zaidi ya miaka 35.
Yaani kukemea uovu siku hizi ni kuhukumu?
Ushoga na usagaji ulianza hivi hivi.....ukikemea na kuzoea unaambiwa unahukumu....sasa umeota kama uyoga.
Nimo nuruni, ninaishi nuruni na kutembea nuruni.
Nuruni hakuna chaka wala giza, ni Nuru Peke Yake.
bora hata kuhani musaBila mwamposa na kuhani musa uzi wako batili,,
hao hawana tofauti na waganga wa kienyeji. waganga wa kienyeji wamekuwa wakifanya hayo miaka nenda rudi.Je? Kuna watumishi wa mungu ukifka tu wanataja matatizo yako before ujawaelezea? Hii imekaaje wataalam??
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kanisa limekuwa kiwanda cha kuzalisha dhambi.Kweli mkuu. Kuna kundi limeingia kwenye ukristo shetani analitumia. Halitaki maonyo wanataka wafanye mambo ya hovyo na usiwaambie au kuonywa. Mwisho wa siku dhambi imeingia kanisani.
nalifuatilia hapa nimelifukunyua jamaa ni kichwa aisee nlichelewa wapi sijui.Uebert Angel alinijibu swali ambalo niliwauliza watalaamu wa theologia wakatoa majibu ambayo sijawahi kuridhika ,huyu mwamba alifundisha "the origin of God ".Toka nikiwa mdogo nilikuwa nauliza Mungu alitoka wapi na anakaa wapi.Huyu mwamba alijibu haya maswali mawili nikanyanyua mikono juu .