Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
View attachment 2398784
Aiseeee, we jamaa umetoa wapi hii mambo?Tusiwabague, Mashoga Makhanisi Wasagaji Wapiga punyeto.
Angalia hichi kisa cha ubaguzi dhidi ya Kibamia kilivyoleta chuki
View attachment 2398685
😂😂😂😂. Mimi kama sijapendeza siwezi kwenda barMkuu huna kitambi bambalaga unaenda kufanyaj si uje huku The Bistro
Akili ya stool ya mchicha hiiKwani ukila mgahawa wa kawaida au kwa mama ntilie unapungukiwa nini Mkuu?
Ndio zao haoo,Bora umelielezea kwa uhakika kabisa
Mimi nilienda hotel moja kubwa hao wadada wanajipitisha zaidi ya mara 10 hadi kero
Garden imekuwa ukumbi wa kupitapita na visimu vyao mara wajipige mara wavue viatu
Hawana hata hela ya kununua bia masikini ila wanakera sana
Haupingw mkuu nenda kalipie ubaguzi urudi ulalamike hapa😅,Ela yako,jasho lako halina thamnAkili ya stool ya mchicha hii
Hata wewe respected member humu una support ubaguzi can't believe this, ubaguzi wa rangi ni dhambi kubwa mno ndio maana viashiria hata kama ni vidogo lazima vipigwe vita, yaani mtu humu akija na directly evidence kuwa CTFM RESTAURANT, Dar branch kuna ubaguzi wa rangi lazima binafsi will bring to attention kwa wahusika, yaani nipate recording ya mzungu kuwa treated tofauti na person of the colour pls post hapaHao walalamikaji nao wamekosa kazi za kufanya
It's so sad kuona wachangiaji wengi humu wana chukulia suala hili kama ni joke, racial discrimination ni ushenzi wa hali ya juu.Watanzania wengi tunashobekea wageni kuliko wazawa. Hii ni aibu.
Pls mwenye directly recording itakayoonyesha ubaguzi sends to me hata uni PM,pale Table view kuna watu watapeleka hiyo clip mguu kwa mguu, NEVER mtanzania abaguliwe kwenye nchi yakeVideo moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
View attachment 2398784
[emoji3][emoji3][emoji3] asije hapa kulia liaBasi ngoja wakukomeshe Maana unaleta ubishoo mwingi
Hapo wahudumu wameshawajulia hivo wanaamua kuwakomesha.Labda ni wale wanaokaa masaa kibao wakisubiri wapate muthungu huku wakiwa na soda masaa mengi huku wakizuia viti
Nimeona video clip wanawaongelea wazungu tu
Nilikuwa nasubiri wanaume waje waseme pia
Mbona wanawake tu ?
Shukran kwa kutufungua hapa
Naona wanaenda kudanga tu
Hama Mgahawa tafadhali kwanini kujitesa ikiwa pesa ni yako.. target customers wao ni wazungu sio weusi.. waswahili wanasema; "ukiona unatengwa ujue wewe sio mlengwa"Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.
Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.
Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.
Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.
Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.
Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.
View attachment 2398784
Yes hama mgahawa kwa services au chakula kibaya,SIO kwa kubaguliwa ,ubaguzi wa rangi utakua ume cross line, amka working class wewehama
Hama Mgahawa
Tanzania ni mazuzu endeleeni na ujinga wenu..Yes hama mgahawa kwa services au chakula kibaya,SIO kwa kubaguliwa ,ubaguzi wa rangi utakua ume cross line, amka working class wewe