Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Simple. TIPS au kutip. Yaani kutoa ahsante iliyoambatana na pesa kidogo. Iwe buku, mbili au tatu.
Tutembee hata kwenye mahotel 4 to 5 star tutayashuhudia
 

Mgahawa wa fish market?
 
Ndio zao haoo,
Tena hujawakuta kwenye vyoo vya hizo hotel wanavyojifotoa mapicha ili wapost Insta, hivi mtu na akili zake anaweza kweli akapiga picha chooni na kupost kwenye mtandao kisa tu choo kina mazingira safi kwa matazamo wake,[emoji848]

Kuna Hotel nyingine kubwa ipo City Center, wana Mgahawa wao mmoja hauna masharti basi ukiwakuta wamejazana hapo na vi juice vyao wanavizia wazungu wakienda chooni wanajipeleka wanajifanya wamelewa sana mara wajidondoshe yaani aibu tupu [emoji706]

Mola atulinde na vizazi vyetu
 
Hao walalamikaji nao wamekosa kazi za kufanya
Hata wewe respected member humu una support ubaguzi can't believe this, ubaguzi wa rangi ni dhambi kubwa mno ndio maana viashiria hata kama ni vidogo lazima vipigwe vita, yaani mtu humu akija na directly evidence kuwa CTFM RESTAURANT, Dar branch kuna ubaguzi wa rangi lazima binafsi will bring to attention kwa wahusika, yaani nipate recording ya mzungu kuwa treated tofauti na person of the colour pls post hapa
 
Pls mwenye directly recording itakayoonyesha ubaguzi sends to me hata uni PM,pale Table view kuna watu watapeleka hiyo clip mguu kwa mguu, NEVER mtanzania abaguliwe kwenye nchi yake
 
Hapo wahudumu wameshawajulia hivo wanaamua kuwakomesha.
Waache kuhudumia wateja wanaoleweka wahangaike na wajaza nafasi kununua kwenyewe kwa mawazo ha!ha!
 
Hama Mgahawa tafadhali kwanini kujitesa ikiwa pesa ni yako.. target customers wao ni wazungu sio weusi.. waswahili wanasema; "ukiona unatengwa ujue wewe sio mlengwa"
 
Yes hama mgahawa kwa services au chakula kibaya,SIO kwa kubaguliwa ,ubaguzi wa rangi utakua ume cross line, amka working class wewe
Tanzania ni mazuzu endeleeni na ujinga wenu..
 
Seems service personnel have been told to be selective with their customers, probably an observation methods on appearance, beauty, good look, spending, purchases, plowhorse,/cashcow, , starmenu, Puzzle, Dogmemu, How much money is left with the fish market per table, per cover ordered.

Otherwise iwe ubaguzi based on class of customers, au wa rangi,

Narudia tena tumieni simu zenu janja vizuri set recording za sauti please make use of phones for any suspicious commotions.

Tuanzie Kwa wamiliki ni watu gani, raia wa wapi, rangi gani, na wafanyakazi wa rangi gani na je ni wabongo?

But all in all wainishe bayana aina yao ya wateja, watumie bei mlipuko menu za elfu50 na kuendelea, au Laki basi, wafanye table price, au packages.
 
Kwani lazima muende hapo? Bila shaka hiyo sehemu inamilikiwa na mzungu mwenzao na hataki WaAfrika hapo, sasa nendeni mkawaungishe waswahilo wenzenu pale samaki samaki
 
Mwenye clip utakayoonyesha racial discrimination pale CTFM, Dar branch pls PM me as soon as possible, hii issue inakuja humu for second time@mirindimo aliliongelea hili, hii ni brand kubwa na imetokea kwenye nchi iliyoathirika mno na ubaguzi wa rangi, definitely watalishughulikia kwa dhati, nipo nimeshaandaa watu kupeleka hii clip physically pale Table View
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…