Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Hakuna aliyebaguliwa hapo CTFM bali hao ni makahaba wanaoenda kujaza viti na kusumbua wateja na kuwaibia wakiwa wamelewa,

Ndio maana sasa hivi viwanja vingi kuna utaratibu wa Table Reservation kama hujaweka meza huingii ndani na kuanzia saa moja ndio wateja halisi huanza kuingia kwa hiyo hao makahaba unaowatetea huambiwa wapishe meza za wateja waliozizuia kitendo hicho hukiita ubaguzi ila deep down wanajua kabisa wanakosea (ilishatukuta hii Wavuvi Kempu baada ya wadada kunyanyuliwa sie tukae wakagoma hadi walipokuja walinzi ndio wakatoka) kiufupi wahudumu wanawajua vema hao wadangaji na usumbufu wao,

Tanzania hakuna Ubaguzi wa Rangi sio kwa karne hii.
 

Ulipata usingizi wa maruwe ruwe wiki nzima [emoji1787]
 
una uhakika mkuu ? hv ukiombwa uthibitishe unaeza kutupa ushahidi ? na ndio hapa tunaona umuhimu wa madikteta ndan ya bara la afrika , Mwafrika akipewa uhuru wa kuongea anaongea lolote tu bila ushahidi
Kuna wanaume wanaobaguliwa?

Ebu fikirisha ubongo wako yaani wanaolalamika ni hao wanawake wachache, ebu waulize shughuli zao ni zipi zaidi ya kuzurura kwenye mabaa.
 
Lazima tujitambue , inshu sio kuhudumiwa ila inshu ni kulinda thaman yetu ndan yq nchi yetu kama wao wafanyavyo nchini kwao , NENDA KWAO FANYA THE SAME , KAMA MGAHAWA NI WAZUNGU TU BASI WAWEKE BANGO NJE KUONESHA NA SIO KULETA UBAGUZI WA KIJINGA
Unaongea na watu wenye upeo mdogo sana. Hawawezi kukuelewa.
 
Kila story ina two side, ubovu wa services au kitu kingine Sina tatizo nao ILA ubaguzi wa rangi hilo kwangu ni tatizo, and will never roll over, nimeshafanya mawasiliano na HQ yao, na wamenijibu kuwa kuna statement kutoka CTFM restaurant kuhusiana na issue hii, binafsi sijaiona, ninategemea by Monday HQ watatoa angalizo the way forward kwa issue hii, Nina plenty of time kufuatilia racially discrimination hasa nchini mwangu, let's give them time up to Monday
 
Mtoa hoja hii CTFM HQ, hii issue ipo mbele ya desk lao ninapoandika muda huu, wadai kuna statement kutoka kwao ila binafsi sijaiona,ila by Monday HQ watakuja na more informations ili ukweli ujulikane, kama wale walikua wamebaguliwa kirangi au mengineyo
 
KAMA ULIKUWA HUJUI, SOKO KUU LA KUTAFUTA VIBABU VYA KIZUNGU NA KUDANGA BASI NI SEHEMU ZOTE ZA STAREHE ZA MASAKI. HUKO VIDADA VINGI VINAJIUZA.
FISHMARKET KAMA SEHEMU ZINGINE ZA STAREHE NI MAENEO YA KIBIASHARA NA HUWEZI BAGUA MTU KWA SBB YA RANGI YAKE.SEHEMU ZENYE UBAGUZI WA KWELI UNALIPIA HUDUMA KWA US DOLLAR.
EBU KWANZA NIULIZE HAKUNA SEHEMU ZINGINE ZA STAREHE MPAKA KWENDA SEHEMU ZA UBAGUZI?
EBU INGIA KWENYE TIKTOK ACCOUNT YA HUYO MLALAMIKAJI WA KWANZA..😂.

ETI NJAA IMEUMA IMEUMA MPAKA BASI. ANZIA NAMANGA MPAKA DOUBLE TREE KULE KUNA MAENEO MENGI YA KUUZA CHAKULA.

KINGINE VIDADA VYA MJINI HAVINA LUGHA NZURI KWA WAHUDUMU HATA KAMA UNA PESA YAKO. LUGHA ZENU ZA KUNYANYASA SANA WAHUDUMU HASA KAMA WANAWAKE.
 
Naona huyu anamtetea mama yake hapo
Sio kwa povu hilo
 
Sehemu ya Starehe watu wanakuja kutumia pesa sio kuonyeshana mavazi, tembea upanue maarifa
huna akili. your view is too general, let me teach you for free.

zipo event ambazo wanatoa description kuhusu aina ipi ya mavazi mualikwa au muhudhuriaji anatakiwa kuvaa ili aendane na atmosphere ya event husika.

kwa mfano waandaji kwenye card yao ya kukualika, wameadika dress code ni business formal, halafu wewe na ushamba wako wa huko uswahili kwenu,unatujia ukiwa umevaa kisuruali cha jeans, t-shirt yenye maandishi ya ajab ajab na raba ya mtumba uliyonunua kwa machinga.

mimi kama organizer wa hiyo event, lazima nitume security guard wakutoe nje mkuku-mkuku.
 
Hii ishanitokea lakini kwenye marathon moja kubwa, kuna wale wahudumu wanakuwepo barabarani kupulizia washiriki misuli, basi mbele yangu yupo mzungu yeye akapuliziwa bila hata kuomba kufika mimi muhudumu akauchuna!
Tatizo black wameshakua na fixed mind mentality kua mzungu ni superior na black ni inferior mbele ya Mzungu,ujinga mtupu huu.
 
Tatizo black wameshakua na fixed mind mentality kua mzungu ni superior na black ni inferior mbele ya Mzungu,ujinga mtupu huu.
Yaani mkuu nifanyie yote it's ok, sio kinionyesha ubaguzi wa rangi utakua ume cross red line,sito push back, nita fight back, ila CTFM HQ pale Table view hii issue ipo mezani mwao, let's wait, ubaguzi wa rangi nilitegemea members wote humu tuupige vita but JF hii haipo Sawa, wote tumo in a same boat kwenye suala la kibaguzi, hii sio politics ambayo tunatofautiana, hapa ni jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuumba then another person ana ku judge kwa rangi yako, iam proud Tanzanian and BLACK
 
Haya ukienda wasalimie wahudumu
 
Wanaosema kuhusu huo mgahawa mbona ni kama wa Kishua sana, si mnaona hata ongea yao wanamix na kimalkia cha bei ghali kidogo.
 
Mbona unatapika Kinyesi mkuu?? Nimezungumzia Bambalaga bar & grill. Kama kuna specific event na wameweka dress code sitoshangaa endapo nitazuiliwa kuingia ikiwa sijafuata vigezo na masharti yao, nazungumzia scenario ambayo hakuna Specific event wala dress code. Wakati mwingine jifunze kusoma na kuelewa kabla ya kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…