Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

Halafu huyu ni mmoja wa very respected member humu,Ubaguzi wa rangi it's NOT a joke, binafsi ni generation ambayo in my early 20s chupu chupu tunge m parachute Mr.Mrema State house (kilichotokea ni debate ya another day),ilikua ni kizazi cha push back sio kila wakati una roll over kama unapokua offside kwenye Rugby [emoji464] game,kwa waliosoma Mkwawa CNE wanajua hili push back dhidi ya new Principal, ilipo CTFM ,kulikua na Italian restaurant Jina lake Casanova,pale kuna waiting staff alimeza bill ili kulinda systems ya wizi wa kiboi, alikua shujaa maana angefukuzisha waiting staff wote, kwenye kijiwe chetu pale mbele ya post ya zamani alichangiwa na kuwa looked after mpaka akatafutiwa kazi pale Alcove, hii generation ya sasa ni ya kulalama tu na kukimbiza viajira uchwara
Hakuna aliyebaguliwa hapo CTFM bali hao ni makahaba wanaoenda kujaza viti na kusumbua wateja na kuwaibia wakiwa wamelewa,

Ndio maana sasa hivi viwanja vingi kuna utaratibu wa Table Reservation kama hujaweka meza huingii ndani na kuanzia saa moja ndio wateja halisi huanza kuingia kwa hiyo hao makahaba unaowatetea huambiwa wapishe meza za wateja waliozizuia kitendo hicho hukiita ubaguzi ila deep down wanajua kabisa wanakosea (ilishatukuta hii Wavuvi Kempu baada ya wadada kunyanyuliwa sie tukae wakagoma hadi walipokuja walinzi ndio wakatoka) kiufupi wahudumu wanawajua vema hao wadangaji na usumbufu wao,

Tanzania hakuna Ubaguzi wa Rangi sio kwa karne hii.
 
Pale ni pa watu wenye hela.
Nilienda mara moja tu na mdogo wangu kwa ajili ya chakula cha jioni.
Weee nilijuta hizo bei...
Baada ya kula tukaenda zetu Sinza kitambaa cheupe maana pale nikiri nisingepaweza.
Yale maumivu ya ile hela yaliisha baada ya wiki.
Nimekoma sirudii tena.

Ulipata usingizi wa maruwe ruwe wiki nzima [emoji1787]
 
una uhakika mkuu ? hv ukiombwa uthibitishe unaeza kutupa ushahidi ? na ndio hapa tunaona umuhimu wa madikteta ndan ya bara la afrika , Mwafrika akipewa uhuru wa kuongea anaongea lolote tu bila ushahidi
Kuna wanaume wanaobaguliwa?

Ebu fikirisha ubongo wako yaani wanaolalamika ni hao wanawake wachache, ebu waulize shughuli zao ni zipi zaidi ya kuzurura kwenye mabaa.
 
Lazima tujitambue , inshu sio kuhudumiwa ila inshu ni kulinda thaman yetu ndan yq nchi yetu kama wao wafanyavyo nchini kwao , NENDA KWAO FANYA THE SAME , KAMA MGAHAWA NI WAZUNGU TU BASI WAWEKE BANGO NJE KUONESHA NA SIO KULETA UBAGUZI WA KIJINGA
Unaongea na watu wenye upeo mdogo sana. Hawawezi kukuelewa.
 
Hakuna aliyebaguliwa hapo CTFM bali hao ni makahaba wanaoenda kujaza viti na kusumbua wateja na kuwaibia wakiwa wamelewa,

Ndio maana sasa hivi viwanja vingi kuna utaratibu wa Table Reservation kama hujaweka meza huingii ndani na kuanzia saa moja ndio wateja halisi huanza kuingia kwa hiyo hao makahaba unaowatetea huambiwa wapishe meza za wateja waliozizuia kitendo hicho hukiita ubaguzi ila deep down wanajua kabisa wanakosea (ilishatukuta hii Wavuvi Kempu baada ya wadada kunyanyuliwa sie tukae wakagoma hadi walipokuja walinzi ndio wakatoka) kiufupi wahudumu wanawajua vema hao wadangaji na usumbufu wao,

Tanzania hakuna Ubaguzi wa Rangi sio kwa karne hii.
Kila story ina two side, ubovu wa services au kitu kingine Sina tatizo nao ILA ubaguzi wa rangi hilo kwangu ni tatizo, and will never roll over, nimeshafanya mawasiliano na HQ yao, na wamenijibu kuwa kuna statement kutoka CTFM restaurant kuhusiana na issue hii, binafsi sijaiona, ninategemea by Monday HQ watatoa angalizo the way forward kwa issue hii, Nina plenty of time kufuatilia racially discrimination hasa nchini mwangu, let's give them time up to Monday
 
Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market.

Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa kusafishiwa viti vyao lakini meza ya wateja wazungu hata kama ni mmoja wapo miongoni mwa kundi la weusi wanachangamkiwa na kuhudumiwa haraka.

Ni video iliyorushwa na kinadada wakilalamika, hivyo hatujui kwa kina uhalali wa malalamiko yao, maana kinadada huwa wanaoneana sana wivu na kuumiza wao kwa wao.

Lakini kama hao wahudumu wa Fish Market wanaishiriki hiyo dhambi ya ubaguzi bila ya wao wenyewe kujua basi wanajitafutia laana zitakazokaa nao kwa miaka mingi ijayo. Huu ubaguzi wanaowafanyia weusi wenzao ndio huu huu tunaokutana nao tukiwa Ulaya na Marekani kwa wazungu.

Labda kinadada hawa hawajui madhara ya hicho wanachokifanya. Lakini ni hawa hawa wakiwa wanasota mitaani wakitafuta kazi wanakuwa wakitia sana huruma namna wanavyokuwa wachovu na mkono ukiwa shavuni.

Ubaguzi ni dhambi mbaya inayoumiza nafsi ya yule anayefanyiwa, mbaya zaidi ni kama hawa wahudumu wanajisahau wakiwachukulia poa wateja wanaowaona kwa mara ya kwanza.

View attachment 2398784
Mtoa hoja hii CTFM HQ, hii issue ipo mbele ya desk lao ninapoandika muda huu, wadai kuna statement kutoka kwao ila binafsi sijaiona,ila by Monday HQ watakuja na more informations ili ukweli ujulikane, kama wale walikua wamebaguliwa kirangi au mengineyo
 
KAMA ULIKUWA HUJUI, SOKO KUU LA KUTAFUTA VIBABU VYA KIZUNGU NA KUDANGA BASI NI SEHEMU ZOTE ZA STAREHE ZA MASAKI. HUKO VIDADA VINGI VINAJIUZA.
FISHMARKET KAMA SEHEMU ZINGINE ZA STAREHE NI MAENEO YA KIBIASHARA NA HUWEZI BAGUA MTU KWA SBB YA RANGI YAKE.SEHEMU ZENYE UBAGUZI WA KWELI UNALIPIA HUDUMA KWA US DOLLAR.
EBU KWANZA NIULIZE HAKUNA SEHEMU ZINGINE ZA STAREHE MPAKA KWENDA SEHEMU ZA UBAGUZI?
EBU INGIA KWENYE TIKTOK ACCOUNT YA HUYO MLALAMIKAJI WA KWANZA..😂.

ETI NJAA IMEUMA IMEUMA MPAKA BASI. ANZIA NAMANGA MPAKA DOUBLE TREE KULE KUNA MAENEO MENGI YA KUUZA CHAKULA.

KINGINE VIDADA VYA MJINI HAVINA LUGHA NZURI KWA WAHUDUMU HATA KAMA UNA PESA YAKO. LUGHA ZENU ZA KUNYANYASA SANA WAHUDUMU HASA KAMA WANAWAKE.
 
Huna akili kweli,
Ile ni sehemu ya biashara sio sehemu ya kujiuzia wewe unaweza kukubali upoteze wateja wa kununua JD kwa laki mbili over someone aliyenunua bia ya elfu 8 anainywa masaa matatu!!!

Pia sehemu yoyote ya kistaarabu ukisharuhusu hao makahaba ujue umeua biashara yako hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kiwanja kilichojaa makahaba,

Wewe na wenzio kama mnajiuza basi muende mkasimame kwenye sehemu mliojitengea kama Kimboka na the likes sio mkajazane kwenye biashara za watu na kuanza kusumbua wateja pia ni wezi wa kutupwa mnawaibia wateja waliokwisha lewa,

Aibu yenu.
Naona huyu anamtetea mama yake hapo
Sio kwa povu hilo
 
Sehemu ya Starehe watu wanakuja kutumia pesa sio kuonyeshana mavazi, tembea upanue maarifa
huna akili. your view is too general, let me teach you for free.

zipo event ambazo wanatoa description kuhusu aina ipi ya mavazi mualikwa au muhudhuriaji anatakiwa kuvaa ili aendane na atmosphere ya event husika.

kwa mfano waandaji kwenye card yao ya kukualika, wameadika dress code ni business formal, halafu wewe na ushamba wako wa huko uswahili kwenu,unatujia ukiwa umevaa kisuruali cha jeans, t-shirt yenye maandishi ya ajab ajab na raba ya mtumba uliyonunua kwa machinga.

mimi kama organizer wa hiyo event, lazima nitume security guard wakutoe nje mkuku-mkuku.
giphy.gif
 
Hii ishanitokea lakini kwenye marathon moja kubwa, kuna wale wahudumu wanakuwepo barabarani kupulizia washiriki misuli, basi mbele yangu yupo mzungu yeye akapuliziwa bila hata kuomba kufika mimi muhudumu akauchuna!
Tatizo black wameshakua na fixed mind mentality kua mzungu ni superior na black ni inferior mbele ya Mzungu,ujinga mtupu huu.
 
Tatizo black wameshakua na fixed mind mentality kua mzungu ni superior na black ni inferior mbele ya Mzungu,ujinga mtupu huu.
Yaani mkuu nifanyie yote it's ok, sio kinionyesha ubaguzi wa rangi utakua ume cross red line,sito push back, nita fight back, ila CTFM HQ pale Table view hii issue ipo mezani mwao, let's wait, ubaguzi wa rangi nilitegemea members wote humu tuupige vita but JF hii haipo Sawa, wote tumo in a same boat kwenye suala la kibaguzi, hii sio politics ambayo tunatofautiana, hapa ni jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuumba then another person ana ku judge kwa rangi yako, iam proud Tanzanian and BLACK
 
Bado Nina respect kwako, na sipendi mada hii ivunje hii respect kwako, ukijibu kama mazuzu wengi humu then nitafanya hivyo, hii ni mother land yangu na sitegemei kubaguliwa the way Mwenyezi Mungu alivyoniumba,iam proud Tanzanian n black, sitokubali ushenzi huu ufanyike ndani ya nchi yangu hii ni HAPANA, yaani ningekua nimepata directly clip ya kibaguzi muda huu ingekua tayari pale Table View, ila kuna watu humu wameahidi watakwenda pale na kutafuta ukweli kwa evidence, binafsi nikipata nafasi Nita pop pale, na pls mwenye clip zenye nyama zaidi post hapa, hii clip ya wadada hii haina ile vavumaa ya kupush hii case
Haya ukienda wasalimie wahudumu
 
Wanaosema kuhusu huo mgahawa mbona ni kama wa Kishua sana, si mnaona hata ongea yao wanamix na kimalkia cha bei ghali kidogo.
 
huna akili. your view is too general, let me teach you for free.

zipo event ambazo wanatoa description kuhusu aina ipi ya mavazi mualikwa au muhudhuriaji anatakiwa kuvaa ili aendane na atmosphere ya event husika.

kwa mfano waandaji kwenye card yao ya kukualika, wameadika dress code ni business formal, halafu wewe na ushamba wako wa huko uswahili kwenu,unatujia ukiwa umevaa kisuruali cha jeans, t-shirt yenye maandishi ya ajab ajab na raba ya mtumba uliyonunua kwa machinga.

mimi kama organizer wa hiyo event, lazima nitume security guard wakutoe nje mkuku-mkuku.
giphy.gif
Mbona unatapika Kinyesi mkuu?? Nimezungumzia Bambalaga bar & grill. Kama kuna specific event na wameweka dress code sitoshangaa endapo nitazuiliwa kuingia ikiwa sijafuata vigezo na masharti yao, nazungumzia scenario ambayo hakuna Specific event wala dress code. Wakati mwingine jifunze kusoma na kuelewa kabla ya kujibu.
 
Back
Top Bottom