Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Kuna siku nilipita bar moja kupata dinner, nikawa nimekaa pembezoni mwa bar,, cha kushangaza meza niliyokuwa nimekaa imejaa bia na mhudumu anaendelea kuleta bia ilhali meza ile hakuna mnywa bia. Nikatamani kumuuliza mhudumu ila nikasita.

Baada ya kuomba anihudumie kinywaji nikamuomba aniletee maji, hapo nikawa nimefungua uwanja wa kupata jibu la nilichokuwa najiuliza. “Kumbe nawe hutumii pombe kama mimi, unaona hizi pombe hapa mezani napewa offer na wateja mie nazipack hapa, hao hao wanaoninunulia wakiagiza tena mie siendi counter nazunguka narudi kuchukua hizi pesa naweka mfukoni. (Msichokijua pia wanaangalia unakunywa bia gani, ukimpatia offer nae anaangukia humohumo ili kadri unavyoendelea kuagiza awe anakuuzia zile ulizompatia offer).
 
That's why napendelea kaunta na sina story na mtu
 
Nq akikupenda kaunta wa bar ni sawa umependwa na mwekahazina wa vikoba au kijumbe wa upatu
 
Kiongozi nidadavulie hiyo 'kuachiwa nuksi'. Inakuaje hiyo? Inaweza kumpata kila mmoja hata km haupo bar au ni mwanaume? Umeizungumza hapo katika madhila
 
Kiongozi nidadavulie hiyo 'kuachiwa nuksi'. Inakuaje hiyo? Inaweza kumpata kila mmoja hata km haupo bar au ni mwanaume? Umeizungumza hapo katika madhila
Masharti ya mganga... Mhusika huelekezwa mwanamke wa kulala naye ili atue zigo lake huko ama achukue nyota yake.. Sehemu rahisi ya kuwapata hao ni bar
 
Exquisite 😍
 
Mmoja alikuwa anaishi Mbagala kazi Kinondoni ilipokuww Masai bar.. Kwao alisema anafanya kazi bank na huwa wanaingia special task ya kupanga pesa usiku.. Na mapigo yake yalikuwa kama wadada wa bank[emoji23]
Kuna mmoja alipanga Kwa Sista Chamazi akadai ni muuguzi muhimbili sasa mi nilikuwa nikienda Muhimbili mara kibao lakini hata mara moja sikuwahi kukutana nae kila ukimpigia simu kaenda lunch sasa bahati mbaya siku moja si nika muona sehemu kwenye ka pub anahudumia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…