Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Mkuu kama kazi inaambulika na mwajiriwa anachangia kodi ya Taifa na pia anachangia mifuko ya jamii unawezaje kuiita kazi ya aibu?
 
Changamoto nyingine wanazopitia hasa wakiwa wageni
1. Kuchomekewa bili na kaunta
2. Kukatwa mshahara kufidia loss na matron, boss au manager
3. Kutakiwa kulipia siku asiyoingia kazini
4. Kumkataa manager kuna tafsiri moja tuu..KUKOSA KAZI

Hayo ni machache kati ya mengi kwenye ulimwengu wa wahudumu wa bar..
 
Hata makuli wa sokoni na stendi wanakula vizuri eg chapati supu asubuhi kuliko waajiriwa.
Kwa hilo kweli. Kama kuna muajiriwa mmoja mke na watoto walalamika hawajala japo utumbo tu mwaka wa 3 sasa wali ndo mwaka wa 5! Ila kwa mtumishi wa aina hii sababu kubwa ni umalaya hakuna jingine!

Ana wekeza kwenye viunolipiwa familia itajiju!!
 
Nimesoma Makala yako mwanzo mpaka mwisho, nimeweza kuelewa ulichokielezea kuhusu wahudumu wa bar.
Kwa ushauri tu kile kichwa chako Cha habari nadhani hakiendani kwa % kubwa na maudhui uliyoyasema.
Mf ishu Kama kupigwa, kuambukizwa magonjwa, kurogwa, utu wao kudhalilishwa n.k hvyo huwezi kuviita MAISHA MAZURI.

Nb. Isitoshe nae mhudumua kaajiliwa na analipwa laki 1 Kama ulivyosema.
[emoji2484]
 
Ni aina tu ya uandishi
BTW kwa sheria za kazi sidhani kama tunaweza kusema wameajiriwa kwa maana ya fomalities zote za ajira
 
Then ikawaje ?
 
Jamii yetu tu haijastaarabika au ni kwasababu watu wa kima cha chini wengi hudharaulika . Ulaya kazi ya bar tender jioni hufanywa na wanafunzi wa elimu ya juu. Wengi wao ndiyo wanakua bank managers na wataalamu wa uchumi baadae.
Duuuuu, kumbe ishu ni kujiheshimu tu.
 
Watu muhimu sana hawa kwenye jamii...wanatutoa stress bila usumbufu mwingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji370]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…