Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi


"Kongolo unawekewa kwato moja ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Kwani huyo MOO ni mlemavu au Zimwi?"

"Kwenye mkia wa MOO unapewa pingili 13 wakati MOO mkia wake una pingili 16" ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kuna wale wahudumu wa bar moja ipo karibu na kituo cha mwendokasi kinondoni, pale maji ya hill wanauza buku hasa siku za band lakini ukiagiza mhudumu anavuka barabara anakwenda kuchukua kwa masai then anakuuzia na yeye anajipatia faida ya 500 saaafi.
 
Mpigie mkunyeto
 
Ila hii ishu ya wahudumu kupenda kuagiza vinywaji vya bei ghali nimeanza kuielewa kupitia uzi huu, siku hizi imekuwa tabia bar zote za mijini ukimpa ofa ya kinywaji binti usitemee aagize serengeti lite au castle lite!!.
 
Utamaduni gani..Wa kuvaa majani kiunoni na kuacha vifua wazi. Izo nguo mmeletewa juzi na hao hao wazungu na waarabu.
 
Hahahaha[emoji23] nimekumbuka mbali sana.. Zambezi Bar River side
Kuna kangamoko zilikuwa zinapigwa pale siku ya ijumaa ilikuwa hatari tupu nimewafinya sana na wekundu kwenye pindo za chupi zao miaka hiyo
 
Ni kazi ya aibu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
"Kongolo unawekewa kwato moja [emoji16][emoji16]Kwani huyo MOO ni mlemavu au Zimwi?"

"Kwenye mkia wa MOO unapewa pingili 13 wakati MOO mkiwa wake una pingili 16" [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku moja pale Serengeti bar Sinza niliuwasha moto mpaka pingili zilizofichwa zikaletwa
 
Kuna kangamoko zilikuwa zinapigwa pale siku ya ijumaa ilikuwa hatari tupu nimewafinya sana na wekundu kwenye pindo za chupi zao miaka hiyo
Kuna kaunta alikuwa anaitwa cha upepo...[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ila hii ishu ya wahudumu kupenda kuagiza vinywaji vya bei ghali nimeanza kuielewa kupitia uzi huu, siku hizi imekuwa tabia bar zote za mijini ukimpa ofa ya kinywaji binti usitemee aagize serengeti lite au castle lite!!.

๐Ÿ˜ ni kweli mkuu, wanafikiria life. Imagine kama mtu hana danga la uhakika , kwa mshahara wa kuanzia 80,000 itamtosha nini kwa maisha ya sasa. Sawa siku za kazini wengi huwekewa maghetto na wenye bar lakini kodi bado zinawasubiri na kama wana watoto wadogo bado watajitahidi kuweka na housegirl. Sio rahisi mkuu bila hizo kando kando
 
Huku Chugga chimbo langu ni Mount point au Picnic yaani hawa viumbe wanasaidia sana kuokoa ndoa zetu tukiwa na stress . Juzi kati Kuna bar maid mmoja picnic aliifinyia kwa ndani mpaka nikatoa ada ya mwanae. Hawa kwa sisi ma legends tunajua jinsi ya kwenda na kuondoka nao, wengi hukimbiwa au hushindwa kuvumilia mpaka Wafunge๐Ÿ˜‚mida mibovu#vivapicnin
 
Juzi kati Kuna bar maid mmoja picnic aliifinyia kwa ndani mpaka nikatoa ada ya mwanae[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ