Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

Namna gani unapigwa kwenye bili ama chakula

Wahudumu wengi hawapendelei wateja wa cash.. Hiyo ni nipe nikupe.. Wengi hupendelea wateja wa bili wale wa kulipa mwishoni
Namna ya upigaji.. Hapa kuna njia 3 na mhudumu huchagua mojawapo kati ya hizo

1. Kuongeza mia mpaka buku kwa baadhi ya vinywaji hasa ambavyo sio common

2. Kuchomekea idadi zaidi ya vinywaji mlivyokunywa

3.. Kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini akakupiga kwenye total

Kwenye vyakula hasa nyama nyama hizi supu na michemsho

1.. Kuuziwa bei juu kuliko kawaida

2. Kupunguza idadi ya vipande vya nyama
Kitimoto unapewa nusu na robo

Kongolo unawekewa kwato moja[emoji23]kwani huyo moo ni mlemavu au ni zimwi?

3. Kwenye mbuzi kuku nk vinapunguzwa vipande vya nyama

4. Kwenye mkia wa moo unapewa pingili 13 wakati moo mkia wake una pingili 16[emoji23]

Akipiga kwa wateja watatu wanne keshapata sahani yake!

Kwingine tunapigwa kwenye ndaza, na nyama za wizi

"Kongolo unawekewa kwato moja 😁😁Kwani huyo MOO ni mlemavu au Zimwi?"

"Kwenye mkia wa MOO unapewa pingili 13 wakati MOO mkia wake una pingili 16" 😁😁😁
 
Kuna wale wahudumu wa bar moja ipo karibu na kituo cha mwendokasi kinondoni, pale maji ya hill wanauza buku hasa siku za band lakini ukiagiza mhudumu anavuka barabara anakwenda kuchukua kwa masai then anakuuzia na yeye anajipatia faida ya 500 saaafi.
 
Kuna mmoja jana kidogo nizame, she is cute na ana kaumbo flani hivi amazing!!

Alinihudumia Asubuhi kwa bashasha sana, duh ukikutana na binti wa aina hii ukiwa mzembe lazima uache mpunga. By the way ni mzuri ana umbo zuri halafu anaongea vizuri kinoma yani!!

Kazi ipo.
Mpigie mkunyeto
 
Kwenye kupiga hapo umewaongelea wanavyopiga wateja ila hela nyingi wanazipata kwa kuwapiga wenye bar..
Njia yao kubwa ni kuingiza vinywaji vyao wenyewe counter hasa hizi pombe kali., akiuza 10 bhasi 6 za mwenye bar, 4 zake. Hapo bado hajachezesha kwenye hesabu za crate hasa kwenye kuchukua stock na bado hela za hivi vikao bubu na kuhudumia masherehe kwa zile bar zenye kumbi

Watu wengi wanadhani barmaids wanapenda tu bar kubwa ili waniuze ila huu ndio ukweli halisi, kukiwa na movement kubwa ya watu side hustle ya kuwapiga wenye bar inawaingizia pesa ndefu, bar isiyo na movement ngumu kuiba
Ila hii ishu ya wahudumu kupenda kuagiza vinywaji vya bei ghali nimeanza kuielewa kupitia uzi huu, siku hizi imekuwa tabia bar zote za mijini ukimpa ofa ya kinywaji binti usitemee aagize serengeti lite au castle lite!!.
 
Usiseme kwamba jamii yetu haistarabika si kweli Bali utamaduni wetu hauruhusu watu kufanya kazi za Aibu zinazokuvua utu wako hatakama unapata kipato cha namna gani.

Hao wazungu huko ulaya unakosema mkuu si kwamba wamestaarabika hapana bali wamekubali kuwa jamii isiyo na mwiko kwenye kufanya vitu vya aibu ndio maana kwao ushoga na kukaa uchi na kuzurula mitaani nusu uchi kwao ni kawaida.

Tusihalalishe ujinga wao kuwa eti ndio ustarabu mkuu
Utamaduni gani..Wa kuvaa majani kiunoni na kuacha vifua wazi. Izo nguo mmeletewa juzi na hao hao wazungu na waarabu.
 
Hahahaha[emoji23] nimekumbuka mbali sana.. Zambezi Bar River side
Kuna kangamoko zilikuwa zinapigwa pale siku ya ijumaa ilikuwa hatari tupu nimewafinya sana na wekundu kwenye pindo za chupi zao miaka hiyo
 
Pamoja na vipato vyao vyote maisha yao hayana furaha Kwa sababu ya kudharauliwa na jamii . Barmaid haheshimiki popote pale kuanzia kazini kwake hadi mtaani kwake anakoishi.

Haaminiwi na mtu yeyote anaye mtambua kazi yake. Hakuna mtu anayeweza kumuwekea uaminifu barmaid popote pale
Ni kazi ya aibu
 
Wanaofahamu saikoloji ya mabarmaid hawaendi bar mapema wanaenda mida mibovu na kupenda kuhudumiwa na waliokwisha leweshwa kisha wakaachwa na wenye ndoa zao[emoji23]jamaa hujibebea tu kiulaiiniii
Ukitaka tongoza kaunta anaingia kazini siku nne anapumzika siku 3, siku anayotoka kazini hakikisha unakuwa naye, huwa wana mavumba ya kutosha sana[emoji23]
😂😂😂🙌🙌
 
"Kongolo unawekewa kwato moja [emoji16][emoji16]Kwani huyo MOO ni mlemavu au Zimwi?"

"Kwenye mkia wa MOO unapewa pingili 13 wakati MOO mkiwa wake una pingili 16" [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku moja pale Serengeti bar Sinza niliuwasha moto mpaka pingili zilizofichwa zikaletwa
 
Kuna kangamoko zilikuwa zinapigwa pale siku ya ijumaa ilikuwa hatari tupu nimewafinya sana na wekundu kwenye pindo za chupi zao miaka hiyo
Kuna kaunta alikuwa anaitwa cha upepo...[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ila hii ishu ya wahudumu kupenda kuagiza vinywaji vya bei ghali nimeanza kuielewa kupitia uzi huu, siku hizi imekuwa tabia bar zote za mijini ukimpa ofa ya kinywaji binti usitemee aagize serengeti lite au castle lite!!.

😁 ni kweli mkuu, wanafikiria life. Imagine kama mtu hana danga la uhakika , kwa mshahara wa kuanzia 80,000 itamtosha nini kwa maisha ya sasa. Sawa siku za kazini wengi huwekewa maghetto na wenye bar lakini kodi bado zinawasubiri na kama wana watoto wadogo bado watajitahidi kuweka na housegirl. Sio rahisi mkuu bila hizo kando kando
 
Huku Chugga chimbo langu ni Mount point au Picnic yaani hawa viumbe wanasaidia sana kuokoa ndoa zetu tukiwa na stress . Juzi kati Kuna bar maid mmoja picnic aliifinyia kwa ndani mpaka nikatoa ada ya mwanae. Hawa kwa sisi ma legends tunajua jinsi ya kwenda na kuondoka nao, wengi hukimbiwa au hushindwa kuvumilia mpaka Wafunge😂mida mibovu#vivapicnin
 
Huku Chugga chimbo langu ni Mount point au Picnic yaani hawa viumbe wanasaidia sana kuokoa ndoa zetu tukiwa na stress . Juzi kati Kuna bar maid mmoja picnic aliifinyia kwa ndani mpaka nikatoa ada ya mwanae. Hawa kwa sisi ma legends tunajua jinsi ya kwenda na kuondoka nao, wengi hukimbiwa au hushindwa kuvumilia mpaka Wafunge[emoji23]mida mibovu#vivapicnin
Juzi kati Kuna bar maid mmoja picnic aliifinyia kwa ndani mpaka nikatoa ada ya mwanae[emoji23]
 
Back
Top Bottom