Wahudumu wa bar bila kuvaa nguo fupi, biashara haiendi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hili ndio swali ambalo siku zote huwa najiuliza.

Nani aliwaambia wamiliki wa bar kuwa wanaume tunaenda bar kuangalia mapaja na sio kufuata huduma bora?

Na hili tutasingizia wazungu au utandawazi?

Vidada vingine hata miguu na mapaja havina, ila vinalazimika tu kujianika.

Pumbafu kabisa.
 
Hili ndio. swale ambalo siku zote huwa najiuliza.

Nani aliwaambia wamiliki wa bar kuwa wanaume tunaenda bar kuangalia mapaja na sio kufuata huduma bora?

Na hili tutasingizia wazungu au utandawazi.

Vidada vingine hata miguu na mapaja havina, ila vinalazimika tu kujianika.

Pumbafu kabosa.
Mkuu sisi walevi ndio tunapenda kutazama mapaja tukishalewa
 
Hili ndio. swale ambalo siku zote huwa najiuliza.

Nani aliwaambia wamiliki wa bar kuwa wanaume tunaenda bar kuangalia mapaja na sio kufuata huduma bora?

Na hili tutasingizia wazungu au utandawazi.

Vidada vingine hata miguu na mapaja havina, ila vinalazimika tu kujianika.

Pumbafu kabosa.
Wewe ni mnafiki. Nini kimekupeleka bar, kwanini usiagize uletewe nyumbani kwako
 
Kama hutaki kuona mapaja nunua bia ukanywe nyumbani kwako.

Moja ya raha ya pombe ni kuona kina Salome wakipita na vimini vilivyobana huku wakikubania sauti uwanunulie bia moja.

Uzuri wa pombe ikikolea hata kina Fatuma wenye miguu kama fito unaiyona ni miguu ya bia.

Sasa ulitaka wavae madera au magauni ya vitenge kama waimba kwaya.
 
Back
Top Bottom